Msaada Wa Jinsi Ya Kuwasha Data kwenye simu ya Sony SOV39

Msaada Wa Jinsi Ya Kuwasha Data kwenye simu ya Sony SOV39

mwambie aende setting, mobile network then access point names (APN) kama hapajajazwa ajaze inategemea na mtandao anaotumia ama awapigie wamtumie ila ni rahisi
Ahsante mkuu tayari
 
Back
Top Bottom