Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Msaada tutani wakuu nimsaidie jamaa yangu
Sehemu ya data ipo on lakini kwenye screen haionekani kuwa on, hata ukiingia mtandaoni hapafunguki