Msaada wa kampuni gani ya usafiri kutoka Dodoma kwenda Mbeya?

Msaada wa kampuni gani ya usafiri kutoka Dodoma kwenda Mbeya?

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Habari

Husika na kichwa cha habari hapo juu, wadau wa kusafiri tushirikishane kampun gani ya basi zuri, either luxury au semi luxury ya kutoka Dodoma kwenda Mbeya.

Asante.
 
Duh hii sijawahi isikia labda kama kuna wadau watakuja kutoa maoni yake na kama ndivyo linavyotamkwa
Ni Ngasere.
Nliwai panda dsm to mpwapwa
Ni motooo
Ni tajiri wa Mpwapwa
Mpwapwa to Dodoma
Mpwapwa to DSM
Mpwapwa to Iringa

Ruti nlizotaja wako on time

Au watu wangu wa Mpwapwa mnasemaje?
 
Back
Top Bottom