Msaada wa kampuni gani ya usafiri kutoka Dodoma kwenda Mbeya?

Msaada wa kampuni gani ya usafiri kutoka Dodoma kwenda Mbeya?

Kama lengo lako ni kufika mapema panda NGASERE ,kama lengo ni kufika salama panda SHABIBY,KIMBINYIKO au SATCO.
 
Ni Ngasere.
Nliwai panda dsm to mpwapwa
Ni motooo
Ni tajiri wa Mpwapwa
Mpwapwa to Dodoma
Mpwapwa to DSM
Mpwapwa to Iringa

Ruti nlizotaja wako on time

Au watu wangu wa Mpwapwa mnasemaje?
Mimi nilipanda mwezi wa tisa nikitoka mbeya kwenda dom kiukwel wako vzuri,wako on time na gari ni zuri pia(sipendagi usafiri usoeleweka bora nilipe nauli kubwa ila nisafiri vizuri)
 
Ngasere[emoji23] unapanda na mbuzi afu konda akimind abiria wanamjibu konda si amelipa nauli hiyo mwache[emoji23]
Acha kuharibu biashara za watu mkuu, Ngasere ana bus standard kama Shabiby, F12+ liko standard sana na kwa route hyo ndio linakimbiza kwa sasa hasa kwenye kutunza mda. Nmepanda yote najua walivyo.
 
Kalubandika
Karubandika inaenda Njombe! Na haina hata hadhi ya kuitwa semi luxury! Inasimama simama hovyo njiani kama daladala vile!

Mbeya Dodoma ni Shabiby tu. Hao wengine mfano Kimbinyiko, wanajikongoja tu.
 
Arusha express
Hizo ni marcopolo zilizo choka za kiwango cha kuitwa screpa! Hawajawahi kumiliki semi luxury kwa njia hiyo. By the way, route zao zinaanzia Arusha to Mbeya kupitia Dodoma! Hawaanzii Dodoma kama anavyotaka mtoa mada.
 
Ni Ngasere.
Nliwai panda dsm to mpwapwa
Ni motooo
Ni tajiri wa Mpwapwa
Mpwapwa to Dodoma
Mpwapwa to DSM
Mpwapwa to Iringa

Ruti nlizotaja wako on time

Au watu wangu wa Mpwapwa mnasemaje?
Ngasere hawako serious kwenye baadhi ya huduma zao. Kuna mdau alishawahi kukata tiketi kwenye kampuni yao pale Dodoma kuelekea Iringa, asubuhi akajikuta anapandishwa kwenye basi la fuso lenye injini nyuma lenye jina la Nani Kaona, huku akiwa amelipia nauli ya basi kubwa elfu 15000!

Shabiby ndiyo semi luxury isiyo na longolongo kwa route hiyo!
 
mwendo wa kinyonga
Mbona huwa anaingia Mbeya muda karibu sawa na mabasi mengi ya saizi yake ya kutoka Dom (Kimbinyiko, Ngusero)? Mimi nilipanda mara mbili kwa kweli i was super-impressed na huduma zao, na mwendo wao pia ulikua mzuri tuu (sio kinyonga kama ulivyosema, na pia sio waendeshaji hovyo hovyo wa kupaisha roho); Na nilifika mida mizuri tuu.
 
Mbona huwa anaingia Mbeya muda karibu sawa na mabasi mengi ya saizi yake ya kutoka Dom (Kimbinyiko, Ngusero)? Mimi nilipanda mara mbili kwa kweli i was super-impressed na huduma zao, na mwendo wao pia ulikua mzuri tuu (sio kinyonga kama ulivyosema, na pia sio waendeshaji hovyo hovyo wa kupaisha roho); Na nilifika mida mizuri tuu.
sawa ni kweli ila Kimbinyiko is the best
 
Back
Top Bottom