Msaada wa Kazi au Connection ya Kazi

kila kitu kipo kwenye mtandao....ndugu yangu tafuta mtandaoni...
 
Ni kweli mhando lakini changamoto ni kuwa sponsorship nyingi lazima uwe na kianzio wengi wanataka vianzio ambayo ni application fees za vyuo ambazo unakuta ni more than a million Sasa mtu wa kipato Cha chini anaipata wapi
 
Natamani nifahamu hii ya kusoma maana nimekwama kusoma Masters asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…