Msaada wa kazi au shughuli yoyote, nipo Dodoma

the galaxy a

Senior Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
183
Reaction score
110
Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu:

. Ujuzi wa computer hasa exel,word na publisher

. Saluni ya kiume(kunyoa)

. Kuandaa miradi, nipo hapa kuomba kwa yeyote mwenye shuguli inayoweza kuniingizia kipato, kwa maeneo ya Dodoma hata nje ya Dodoma nafanya kazo yoyote ile

UZOEFU WANGU:
Nimekuwa msimamizi wa sheri ya mafuta(sitaweza kuitaja hapa) miwzi 6

-Kinyozi
  • Shughuĺi za ulinzi( JKT MIAKA 4)
  • Na pia shughuli za kijamaii mbali mbali za mashirika, na miradi mbalimbali.

Kwa aliyeguswa naomba anisaidie

Ahsante
 
Mkuu nipo dodoma pia , mahangaiko ni yale yale sio mbaya tukifahamiana..
 
Daah JKT miaka mi4, una diploma Na ajira hukupata? Hatar Sana mkuu.
 
Back
Top Bottom