Msaada wa kazi

Msaada wa kazi

jamesemm

Senior Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
116
Reaction score
105
Wakuu poleni kwa majukumu! Ndugu zangu naombeni msaada wenu mwenye connection ya kazi naomba aniunganishe,hakika nimechoka kujitolea now ni mwaka 3 najitolea bila ajira.nina experience ya laboratory technician, laboratory analysis, quality control, quality assurance na microbiologist .kama kuna shirika au kiwanda kinahitaji mtu naomba connection nipo tayari angalau nikupe mshahara wa mwezi mmoja kama shukurani
 
Mkuu' usijali.... Mungu ni wetu sote... Mimi nilikaa miaka 7 Mkuu....

Kikubwa amini hatua zako utafika tu' fanya kwa Moyo hicho ulichonacho, Kuna mtu pembeni anaweza kuuona uwezo wako
 
Back
Top Bottom