Wakuu poleni kwa majukumu! Ndugu zangu naombeni msaada wenu mwenye connection ya kazi naomba aniunganishe,hakika nimechoka kujitolea now ni mwaka 3 najitolea bila ajira.nina experience ya laboratory technician, laboratory analysis, quality control, quality assurance na microbiologist .kama kuna shirika au kiwanda kinahitaji mtu naomba connection nipo tayari angalau nikupe mshahara wa mwezi mmoja kama shukurani