Asante sana mkuuPole sana ndugu yangu! Usikate tamaa utapata tu! Siku yako ikifika
Asante sanaMkuu' usijali.... Mungu ni wetu sote... Mimi nilikaa miaka 7 Mkuu....
Kikubwa amini hatua zako utafika tu' fanya kwa Moyo hicho ulichonacho, Kuna mtu pembeni anaweza kuuona uwezo wako
Bado mkuuUmeshapata kazi
Asante sana .ninayo account linkeid huko mkuuUtapata tu mkuu pia jisajili Linkeid kuna kaz wanatangaza