Msaada wa kiafya: Sipati usingizi usiku, mwili unaishiwa nguvu na miguu kuwaka moto

Hapo we kinachokusumbua ni mambo yako kukwama i mean hela huna so jaribu kuhama uende hata kwa mjomba au rafiki ukajimix uzitafute kwa nguvu zote.
 
Tafuta Watu wanaoitwa Wana UWATA wakuombee hizo nguvu za giza zitakutoka
 
Nenda kapime homoni zako za mwili, kuna baadhi zitakuwa hazijabalance, zipo juu sana
 
Kuna kitu unakiwaza hutaki kuwa wazi, itaisha tu baada ya kipindi kirefu, dada yangu alimwacha mchumba wake baada ya kusalitiwa, hakulala wiki nzima hadi alipopata counseling
 
Kuna kitu unakiwaza hutaki kuwa wazi, itaisha tu baada ya kipindi kirefu, dada yangu alimwacha mchumba wake baada ya kusalitiwa, hakulala wiki nzima hadi alipopata counseling
Hao watu wa counceling nawapataje jaman?
 
Punguza mawazo tafuta beach nzuri uwe unaend au umetendwa???
Unaumri gani?
 
Tiiba yako ni maombi ndugu nishawahi kupata tatizo kama hilo niliteseka zaidi ya miaka saba lakini lilikwisha siku moja hata sikuamini mana ni mateso kwakweli
 
Asante ndugu nmefanya kila ktu ila bado nateseka jaman
Pole sana mkuu naielewa hali yako japo nashindwa kukusaidia ilishawahi kunikuta niliteseka kwa miez miwili baadae nikawa sawa.

Japo naamini kushea na mtu wako wa karibu (anayekuelewa na kukujali aliye tayari kufanya lolote kwa ajili yako na kutumia muda wake kwa ajili yako) kutasaidia kwa sehemu kubwa kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo pole
 
Asante ndugu nmefanya kila ktu ila bado nateseka jaman
Ila yana muda hayo yatapita ndugu usijikatie tamaa kiasi cha kutamani kufa kama unaamini katika MUNGU jitahidi pia kwenda ibadani kuna faraja ya pekee kule
 
Ungetumbia kuhusu wewe mwenye shughuli unayofanya, umeoa na mawazo uliyokuwa nayo ni yapi.

Unaweza kukuta umevunja record ya dunia kukaa siku zaidi ya 7 pasipo kulala.
 
Asante
 
Ila yana muda hayo. Yatapita ndugu. Usijikatie tamaa kiasi cha kutamani kufa. Kama unaamini katika MUNGU jitahidi pia kwenda ibadani. Kuna faraja ya pekee kule
Asante
 
Ungetumbia kuhusu wewe mwenye shughuli unayofanya, umeoa na mawazo uliyokuwa nayo ni yapi.

Unaweza kukuta umevunja record ya dunia kukaa siku zaidi ya 7 pasipo kulala.
Sina shughuli nimemaliza chuo 2016 bado sijapata kazi natafuta
 
Ila yana muda hayo. Yatapita ndugu. Usijikatie tamaa kiasi cha kutamani kufa. Kama unaamini katika MUNGU jitahidi pia kwenda ibadani. Kuna faraja ya pekee kule
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…