Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nimepitwa na Kiswahili, 'gambe' ni kitu gani?Gambe sijawahi kunywa toka nizaliwe ila nafika sehemu kuna roho inanishawishi nijaribu labda itatatua tatzo
nimekukaribisha kule kwa sababu huwa tunakesha!Nipe kwanza ushaur maana nateseka huwa nachoka sana kwasababu silali
Hao watu wa counceling nawapataje jaman?Kuna kitu unakiwaza hutaki kuwa wazi, itaisha tu baada ya kipindi kirefu, dada yangu alimwacha mchumba wake baada ya kusalitiwa, hakulala wiki nzima hadi alipopata counseling
Una miaka mingapi? Siyo lazima kuitaja exactly, unaweza sema kuanzia 22 - 37Nashukuru nifanyaje xaxa jaman
Pole sana mkuu naielewa hali yako japo nashindwa kukusaidia ilishawahi kunikuta niliteseka kwa miez miwili baadae nikawa sawa.Asante ndugu nmefanya kila ktu ila bado nateseka jaman
Ila yana muda hayo yatapita ndugu usijikatie tamaa kiasi cha kutamani kufa kama unaamini katika MUNGU jitahidi pia kwenda ibadani kuna faraja ya pekee kuleAsante ndugu nmefanya kila ktu ila bado nateseka jaman
24Una miaka mingapi? Siyo lazima kuitaja exactly, unaweza sema kuanzia 22 - 37
AsantePole sana mkuu. Naielewa hali yako japo nashindwa kukusaidia. Ilishawahi kunikuta. Niliteseka kwa miez miwili baadae nikawa OK. Japo naamini kushea na mtu wako wa karibu (anayekuelewa na kukujali. Aliye tayari kufanya lolote kwa ajili yako na kutumia muda wake kwa ajili yako) kutasaidia kwa sehemu kubwa kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo. Pole
AsanteIla yana muda hayo. Yatapita ndugu. Usijikatie tamaa kiasi cha kutamani kufa. Kama unaamini katika MUNGU jitahidi pia kwenda ibadani. Kuna faraja ya pekee kule
Unafanya kazi yeyote?
Sina shughuli nimemaliza chuo 2016 bado sijapata kazi natafutaUngetumbia kuhusu wewe mwenye shughuli unayofanya, umeoa na mawazo uliyokuwa nayo ni yapi.
Unaweza kukuta umevunja record ya dunia kukaa siku zaidi ya 7 pasipo kulala.
Sina kazi bado natafuta ajira mahusiano na watu yapo vizuriUnafanya kazi yeyote?
Mahusiano yako na watu wanaokuzunguka unayaonaje?
AsanteIla yana muda hayo. Yatapita ndugu. Usijikatie tamaa kiasi cha kutamani kufa. Kama unaamini katika MUNGU jitahidi pia kwenda ibadani. Kuna faraja ya pekee kule