Msaada wa kiafya: Sipati usingizi usiku, mwili unaishiwa nguvu na miguu kuwaka moto

Sina kazi bado natafuta ajira mahusiano na watu yapo vizur
Ulikua una matarajio yoyote uliyojiwekea umeyafikia kwa kiwango gani?

Wangapi wanajua kuhusu hii hali yako?
 
Ulikua una matarajio yoyote uliyojiwekea? Umeyafikia kwa kiwango gani?

Wangapi wanajua kuhusu hii hali yako?
Anajua 1 bado sijafikia matarajio yangu niliyojiwekea sababu sina hata kazi sahivi natafuta mtaji nijiajiri tu mwenyewe
 
Anajua 1 Bdo sijafikia matarajio yangu niliyojiwekea sababu sina hata kazi sahv natafuta mtaji nijiajiri tu mwenyewe
Huyu mmoja anayejua ni nani yako?

Unafikiri ukijiajiri na kufikia malengo yako utakua sawa?
 
Unawaza nn ?inabd useme kwanza nn shida tujue tunakushaurije ili uweze kukabiliana nalo ...mfano mm nikiwa nawaza hadi kichwa kinauma huwa naamka najiambia kabisa mungu yupo na atanipigania nkishasali basi naanza siku fresh ..hivyo muombe mungu atakuvusha salama
 
Asante
 
Maisha kwa ujumla
 
Habari zenu wapenzi? Naomneni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nmepima kila kitu sina, Sipati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha nikijilazimisha kulala nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan nakuwa kama naota japo siko usingizini kikitoka hichi kinaingia hichi mpaka asubui, misuli inauma, miguu inawaka moto, vitu vinanitembelea mwilini kama sisimizi, nawashwa, naishiwa nguvu hasa usiku, nilienda hospital wakanipa Dawa za usingizi nikameza Jana ndokabisa sikulala nilikaa macho nangaika mpaka kukakucha kwa kifupi Dawa ilidunda hapa nafikiria sijui nimeze piriton hata 2 ili Leo nilale maana nateseka sana jamani, naombeni mnisaidie maana nmefka sehemu natamani hata kufa nmekata tamaa
Shida yako huna pesa..!
 
kwa mtu alie hai na vyuma kama hivi stress haziishi jitahidi ufanye kai itakayokufanya uchoke hata kuchimba shimo la taka kama unalo wachimbie kila jirani anaehitaji
Ninakazi ya kuchimba kisima kirefu cha kutunzia maji ya mvua njoo nikupe kazi ulale umechoka hutasikia hayo mauzauza
 
Habari zenu wapenzi? Naomneni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nmepima kila kitu sina, Sipati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha nikijilazimisha kulala nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan nakuwa kama naota japo siko usingizini kikitoka hichi kinaingia hichi mpaka asubui, misuli inauma, miguu inawaka moto, vitu vinanitembelea mwilini kama sisimizi, nawashwa, naishiwa nguvu hasa usiku, nilienda hospital wakanipa Dawa za usingizi nikameza Jana ndokabisa sikulala nilikaa macho nangaika mpaka kukakucha kwa kifupi Dawa ilidunda hapa nafikiria sijui nimeze piriton hata 2 ili Leo nilale maana nateseka sana jamani, naombeni mnisaidie maana nmefka sehemu natamani hata kufa nmekata tamaa
Mara nyingi kukata tamaa kunatokea pale ambapo mtu anashidwa kuona uthamani wake katika mazingira yanayomzungika... Jitahidi sana kujichanganya na wa2, na uwe na mapenzi ya kweli kwa hao wa2 unaojichanganya nao..
Kwa sababu wa2 wanaotunzunguk ndo wanaotupa strength and reasons to move on despite of the difficulties tunazopitia..
 
Find the source first my dear.

Do not take sleeping pills. Its a dangerous addiction.

Take to God.

God Grant you ease.
 
saa zingine tunaweza kujitengenezea /kujitibia maradhi kwa kutumia ubongo wetu.

unahitaji mwanasaikolojia
 
Back
Top Bottom