Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Ulikua una matarajio yoyote uliyojiwekea umeyafikia kwa kiwango gani?Sina kazi bado natafuta ajira mahusiano na watu yapo vizur
Wangapi wanajua kuhusu hii hali yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua una matarajio yoyote uliyojiwekea umeyafikia kwa kiwango gani?Sina kazi bado natafuta ajira mahusiano na watu yapo vizur
Anajua 1 bado sijafikia matarajio yangu niliyojiwekea sababu sina hata kazi sahivi natafuta mtaji nijiajiri tu mwenyeweUlikua una matarajio yoyote uliyojiwekea? Umeyafikia kwa kiwango gani?
Wangapi wanajua kuhusu hii hali yako?
Huyu mmoja anayejua ni nani yako?Anajua 1 Bdo sijafikia matarajio yangu niliyojiwekea sababu sina hata kazi sahv natafuta mtaji nijiajiri tu mwenyewe
Mpenzi wanguHuyu mmoja anayejua ni nani yako?
Unafikiri ukijiajiri na kufikia malengo yako utakua sawa?
Asante sukari nimepima sina
Swali moja haujajibu mkuuMpenzi wangu
AsanteUnawaza nn ?inabd useme kwanza nn shida tujue tunakushaurije ili uweze kukabiliana nalo ...mfano mm nikiwa nawaza hadi kichwa kinauma huwa naamka najiambia kabisa mungu yupo na atanipigania nkishasali basi naanza siku fresh ..hivyo muombe mungu atakuvusha salama
Sina namba yakonipigie nikushauri la kufanya
Maisha kwa ujumlaUnawaza nn ?inabd useme kwanza nn shida tujue tunakushaurije ili uweze kukabiliana nalo ...mfano mm nikiwa nawaza hadi kichwa kinauma huwa naamka najiambia kabisa mungu yupo na atanipigania nkishasali basi naanza siku fresh ..hivyo muombe mungu atakuvusha salama
Shida yako huna pesa..!Habari zenu wapenzi? Naomneni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nmepima kila kitu sina, Sipati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha nikijilazimisha kulala nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan nakuwa kama naota japo siko usingizini kikitoka hichi kinaingia hichi mpaka asubui, misuli inauma, miguu inawaka moto, vitu vinanitembelea mwilini kama sisimizi, nawashwa, naishiwa nguvu hasa usiku, nilienda hospital wakanipa Dawa za usingizi nikameza Jana ndokabisa sikulala nilikaa macho nangaika mpaka kukakucha kwa kifupi Dawa ilidunda hapa nafikiria sijui nimeze piriton hata 2 ili Leo nilale maana nateseka sana jamani, naombeni mnisaidie maana nmefka sehemu natamani hata kufa nmekata tamaa
Sina namba yako
Ninakazi ya kuchimba kisima kirefu cha kutunzia maji ya mvua njoo nikupe kazi ulale umechoka hutasikia hayo mauzauzakwa mtu alie hai na vyuma kama hivi stress haziishi jitahidi ufanye kai itakayokufanya uchoke hata kuchimba shimo la taka kama unalo wachimbie kila jirani anaehitaji
Mara nyingi kukata tamaa kunatokea pale ambapo mtu anashidwa kuona uthamani wake katika mazingira yanayomzungika... Jitahidi sana kujichanganya na wa2, na uwe na mapenzi ya kweli kwa hao wa2 unaojichanganya nao..Habari zenu wapenzi? Naomneni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nmepima kila kitu sina, Sipati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha nikijilazimisha kulala nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan nakuwa kama naota japo siko usingizini kikitoka hichi kinaingia hichi mpaka asubui, misuli inauma, miguu inawaka moto, vitu vinanitembelea mwilini kama sisimizi, nawashwa, naishiwa nguvu hasa usiku, nilienda hospital wakanipa Dawa za usingizi nikameza Jana ndokabisa sikulala nilikaa macho nangaika mpaka kukakucha kwa kifupi Dawa ilidunda hapa nafikiria sijui nimeze piriton hata 2 ili Leo nilale maana nateseka sana jamani, naombeni mnisaidie maana nmefka sehemu natamani hata kufa nmekata tamaa
AsanteMara nyingi kukata tamaa kunatokea pale ambapo mtu anashidwa kuona uthamani wake katika mazingira yanayomzungika... Jitahidi sana kujichanganya na wa2, na uwe na mapenzi ya kweli kwa hao wa2 unaojichanganya nao..
Kwa sababu wa2 wanaotunzunguk ndo wanaotupa strength and reasons to move on despite of the difficulties tunazopitia..