moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Niko DSM.....banana hapa.Upo mkoa gani nikuunganishe na mafundi wanaofanya hizo kazi za majiko wanaweza kukitafuta wakakutengenezea jiko lako
Niko dsm.....banana hapa.
Yes mkuu hivyo ndio jinsi ya kujiongeza linapotokea tatizo hutakiwi kuumiza kichwa unawaachia wenye kazi zao waumize kichwa.Nimeshampata...kaja kashafix..linapiga mzigo fresh sasa hivi