moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Wakuu,nimenunua jiko miezi 6 iliyopita ila sikuweza kulitumia sababu ya safari likawa ndani tu.
Sasa juzi nachomeka mpira wa gesi ,mara kile kideude cha aluminium nyuma ya jiko kikavunjika na kubakisha ka bomba ka kuingiza gesi ndani ya jiko.
Nimejaribu kuunganisha mpira wa gesi na hako kabomba nimeshindwa.
Je, kuna mtu anajua wapi naweza pata hiki kikadude kilichovunjika nikakirudishia kwenye jiko ili niweze kuunganisha na mpira wa gesi nipike?