Msaada wa kifaa cha Jiko la Gesi

Msaada wa kifaa cha Jiko la Gesi

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Wakuu,nimenunua jiko miezi 6 iliyopita ila sikuweza kulitumia sababu ya safari likawa ndani tu.

Sasa juzi nachomeka mpira wa gesi ,mara kile kideude cha aluminium nyuma ya jiko kikavunjika na kubakisha ka bomba ka kuingiza gesi ndani ya jiko.

Nimejaribu kuunganisha mpira wa gesi na hako kabomba nimeshindwa.

Je, kuna mtu anajua wapi naweza pata hiki kikadude kilichovunjika nikakirudishia kwenye jiko ili niweze kuunganisha na mpira wa gesi nipike?
IMG_20200711_094508.jpg
IMG_20200711_094251.jpg
 
Upo mkoa gani nikuunganishe na mafundi wanaofanya hizo kazi za majiko wanaweza kukitafuta wakakutengenezea jiko lako
 
Jiko linapiga mzigo umefanyaje? Mie imetokea kama hivyo mwezi wa 4 sasa sijarekebisha, unaweza kuweka mpira hapo direct?
 
Back
Top Bottom