Msaada wa Kikokotoleo cha TRA

Msaada wa Kikokotoleo cha TRA

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,758
Reaction score
3,199
Habarini Wakuu!

Kwanza Kabisa Heri ya mwaka mpya 2013 iwafikie popote mlipo!

Wadau shida yangu hasa ni kuhusu kikokotoleo (Calculator) ya TRA kenye Magari used, Nimefuatitilia mijadala mbalimbali humu jamvini kuhusu hicho kikokotoleo lakini kila nikipiga hesabu zinakataa!

Kwa mfano ukiagiza gari yenye C.I.F ya 3200USD, iliyotengenezwa mwaka 2004 basi taxes zote zinakuja arround 1,500,000TSH,(kwa mujibu wa kikotoleo cha TRA) ukijumlisha pale TPA gharama zake ni arround 500,000TSH, registration 40,000TSH, insurance arround 700,000TSh! sasa kuna jamaa yangu pale TRA ananiambia niandae 5,000,000TSH kwa ajili ya mchakato wote, wakati hesabu zangu hazifiki hata 3,500,000TSH!

KUna nini nakosea hapo? NIsaidieni kuchambua hili manake sijaziona kwenye mijadala mingine?

Nitashukuru kwa msaada wenu! Na mungu ajaalie mwaka huu uwe wa mafanikio maradufu kwetu sote , Ameeeen!
 
Kodi inategemea aina ya gari unayonunua na bei yake wakati lilipokuwa mpya. Na depreciation pia. Unanunua gari gani na ni ya mwaka gani?
 
Nataka kununua Toyota Wish, 2004 with 1800cc!
 
Mkuu kuna retail sailing price ya magari kwenye web yao.
Hiyo uliyonunulia wewe haihusiki mkuu download excel sheet yenye retail price tumia bei waliyoweka wao
 
Thanks mkuu! Naona hapa nimefanikiwa, Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom