Msaada wa kimapenzi tafadhali

Msaada wa kimapenzi tafadhali

Unamtumia na Kumwambia akimaliza kuangalia afute.
FB_IMG_1705917200781.jpg
 
Ni utahaira tu kuomba picha za nyuchi.

Kwanini uombe picha wakati unaweza kumuita na hata kumwambia avae underwaear gani uzipendazo na akaja ukamtomasa vya kutosha?
 
Mapenzi ni kama kula miwa, kuna pingili zinakuwa tamu balaa na Kuna sehemu unakula pingili hazina hata utamu.

Ikifika hiyo stage ya kula pingili zisizo na utamu ndiyo watu hawachelewi kutuma connection.

Utasikia anayetaka connection ya Unique Flower aje PM 😜

Na sisi Wazee tunawahi chapu kuvaa miwani na kusubiria kuona hizo connection zenu

Kuweni makini
 
Back
Top Bottom