Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Sikujua kama kuna watu wanaomba kutumiwa picha za hivyo hapa bongo 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahah dah basi yaishe mkuuMsela ni muhuni aliyelewa mzee,pombe ikiisha anarudi kwenye uhuni tu
miaka ya balehe nimeomba picha za uchi sanaSikujua kama kuna watu wanaomba kutumiwa picha za hivyo hapa bongo 😂
Unafanya kadri ya maadili au mihemko yakoSwali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
Kuna wanawake hawapendi kuangaliwa tupu zao mubashara(hasa wale vibonge) kwa sababu hujihisi hawapo kawaida, sasa je wataangaliwaje muda wote ?Fungeni ndoa muishi wote awe anakuangalia muda wote.
Ulikuwa unaziomba kwa kazi gani?miaka ya balehe nimeomba picha za uchi sana
Inategemea na umri wa muombaji
Huwa na kuchungulia na kujichulia.Halafu lengo haswa nini??
kweli mrembo bora waoane tu.Ukiwa naye huwa haoni hizo sehemu?Anataka kwa mtindo wa picha ili ajifunze nini?Kama kwenye sufuria(mwili mubashar)hakuridhika,picha ndiyo zitamridhisha?Fungeni ndoa muishi wote awe anakuangalia muda wote.
ni ujinga na utoto tuUlikuwa unaziomba kwa kazi gani?
Sasa umekua na kuachana na ujinga bila shaka 😜ni ujinga na utoto tu
Kwahyo umeona uje unitangazee??!Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
hakika mkuu, sometime nakaa na kucheki madogo wanavyohangaika japo wao wanaona ufahari, nabaki kucheka tuSasa umekua na kuachana na ujinga bila shaka 😜
Ni kweli isitoshe kwani hamtoonana simtaonanaga ila hii sio mmoja wengi tu wanalalamika wapenzi wao wanawaomba nasipoa
vizuri tule pamoja jamani......usiogope mie sio mchaga siendi kupeleka picha yako kilingeni nkakuweke kwenye kabatiWewe acha umbeya
Za kupigia nyetoHalafu lengo haswa nini??