Biashara zinahitaji uwe creative, u-take risks, yaani usiwe muoga, cha muhimu jaribu kuangalia maeneo unayoishi huduma gani ambayo inapatikana kwa shida shida na watu wengi wanaihitaji, kama ishu inaweza kuwa solved kwa kutumia hy pesa unaweza anza biashara, but kwa muda ambao bado hujajua cha kufanya unaweza iweka benki kwenye fixed akaunti!! Pamoja