Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 899
Jamani members naomba msaada wenu wa kimawazo, baada ya kugraduate na kusota sana mtaani na ku hustler nimeweza ku-make 2m, sasa naomba msaada wenu wa kimawazo ya biashara ama nifanye kitu gani na hii mkwanja , ili niweze kujiendeleza zaidi....mawazo tafadhali na sio matusi