Msaada wa kimawazo ya biashara niko na million 2

Msaada wa kimawazo ya biashara niko na million 2

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
1,691
Reaction score
899
Jamani members naomba msaada wenu wa kimawazo, baada ya kugraduate na kusota sana mtaani na ku hustler nimeweza ku-make 2m, sasa naomba msaada wenu wa kimawazo ya biashara ama nifanye kitu gani na hii mkwanja , ili niweze kujiendeleza zaidi....mawazo tafadhali na sio matusi
 
Saloon au Uwakala wa Tigo Pesa, Fahari huduma nk. Nunua Selcom machine then tafuta site nzuri
 
Nunua boda boda uendeshe mwenyewe
 
Biashara zinahitaji uwe creative, u-take risks, yaani usiwe muoga, cha muhimu jaribu kuangalia maeneo unayoishi huduma gani ambayo inapatikana kwa shida shida na watu wengi wanaihitaji, kama ishu inaweza kuwa solved kwa kutumia hy pesa unaweza anza biashara, but kwa muda ambao bado hujajua cha kufanya unaweza iweka benki kwenye fixed akaunti!! Pamoja
 
Mkuu nunua hisa za TBL au Swissport kisha endelea na harakati zako kama kawaida tu.
 
Mkuu nunua hisa za TBL au Swissport kisha endelea na harakati zako kama kawaida tu.

Big no..
Hisa nunua na pesa ambayo huna mahitaji nayo ya haraka... Halafu, hisa kibongo bongo hazitabiriki.
 
hujasema upo wapi, we mwenyewe unawaza nn, coz we pia unatakiwa utupe mawazo yako
 
Back
Top Bottom