Wakati naandika vile nlkuwa nimelewaKumbe hadi namba mnazo
Em tuonane ndio utajua nan kibuyu ππΉπΉπΉ ww na mbaga wote vibuyu
Mkuu mwezi wa 6 nilienda kahama tulikua tunasomba tumbaku kutoka vijijini tunaipeleka mjini kahama kwenye makampuni yanayonunua, aisee wale vijana wa vijijini wanapiga hela balaa na tumbaku inanunuliwa kwa dollar, nikasema ipo siku nitaifanya.Ukiwa hata na 5m unaifanya
Kwender πΉπΉπΉSawa na usiniite tena
Getto haliwezi kuwa ghaliNyumba ghali kuliko gari ujue
Kibuyu km vibuyu wengine πΉπΉπΉEm tuonane ndio utajua nan kibuyu π
Mil 70 na 40 ipi ghaliGetto haliwezi kuwa ghali
Ah sasa mm sijui ilikuwaje mana nmekuzoea na suruali na siku moya moya unavaa kigauni kipensi πKhaah π€£π€£π€£π€£ππππππΎππΎππΎ hujawah kua na akili,,mimi na magauni wap na wapi
Umezira πSawa na usiniite tena
Ht ww mbona nnazo zako ππΉπΉπΉ nouma sana.!!
KufanyajeUmezira π
ππππππππΎππΎππΎ DaaaahAh sasa mm sijui ilikuwaje mana nmekuzoea na suruali na siku moya moya unavaa kigauni kipensi π
We uliona kigauni janaππKumbe hadi namba mnazo
πΉπΉπΉ wewe ungepata namba zangu ungeshinda unanisumbuaKwahy zile namba ulizonipa n za treni π
Em njoo kwanza pm kuna jambo la kukushrikishaππππππππΎππΎππΎ Daaaah
Hebu kiweke nikioneWe uliona kigauni janaππ
Dah fanya wepesi bc kule ππΉπΉπΉ wewe ungepata namba zangu ungeshinda unanisumbua