Msaada wa kisaikolojia: Mtu anaependa kukaa mwenyewe

Una Social phobia
 

Mkuu wewe upo kama mimi.. yani mpaka home wananishangaa
 
Hata mi pia nina tatzo hilo sipendi kukaa na watu wengi nimezoea kukaa peke yangu na huwa nakuwa na furaha sana nikikaa peke yangu
 
Ili uweze kuelewa vizuri hii hali soma kuhusu Personality (introvert and extrovert personality) and personality disorders.
 
Nna tabia hiyo na nimefanikiwa kimaendeleo kuliko nilivyokuwa najishughulisha na mashost!

NB : kuwa makini na marafiki, unaeza lost mazima ( na hali hii ni kwa kiasi kikubwa) au kutoka kimaisha ( minor % coz wabongo wengi wana roho mbaya sana)
 
Tatizo la kisaikolojia liitwalo: Socio-phobia
 
mimi napenda kukaa peke yangu,kusikiliza mziki,na kuchati na hiyo ndio ratiba yangu ya kila siku.Sipendi kujichanganya kwenye makundi ya watu kama sina sababu maalum.Aidha ikitokea nikajichanganya haizidi nusu saa naondoka. Sio mpenzi wa mpira so niko hovyo tangu utotobi hadi leo age ya 47. Huwa najishangaa lakini ndio niko hivyo.Hata sasa nichangiapo uzi huu nipo peke yangu na mziki mdogo wa laptop!!!
 
The loneliest people are the kindest. The saddest people smile the brightest. The most damaged people are the wisest
 
Aisee me sitaki shobo na mtu, wanaweka kukaa watu wanaongea hapo mimi nawasikiliza tu na kucheka mpaka nikahisi nina matatizo kumbe nimegundua haya ndio maisha yanayinipa furaha, nifanye mambo yangu nitakavyo asiniingilie mtu nisimuingilie mtu, la vie est belle
 
Social Phobia ni yule anayeogopa au kuona aibu kukaa na watu. mimi siko hivyo sina aibu kabisa na wala siogopi kukaa na watu.
Kweli kuka peke ako aimanishi ujiamin au unogopa au unaona aibu la hasha!mi bana sina aibu n wala siogop tena linapokuja suala la kunikwaza au nikuambie ukwel kuhusu jambo ambalo naliona haliko poa.. Wee lazma utashngaa ndo huyu anayekaaga kimya au! ....nakupa makavu yako tu den story zinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…