bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Una Social phobiamkuu mi mmoja wapo. ninapokua kwenye watu wengi huwa nashindwa kuwa efficient najisikia nguvu zinaisha mwilini. huwa nahitaji mda wa kukaa peke yangu. na nikiwa peke yangu akili ndio inafanya kazi sana. huwa sipendi kelele kabisa so kuwa peke yangu naepukana na kelele