Msaada wa kisaikolojia: Mtu anaependa kukaa mwenyewe

Msaada wa kisaikolojia: Mtu anaependa kukaa mwenyewe

mkuu mi mmoja wapo. ninapokua kwenye watu wengi huwa nashindwa kuwa efficient najisikia nguvu zinaisha mwilini. huwa nahitaji mda wa kukaa peke yangu. na nikiwa peke yangu akili ndio inafanya kazi sana. huwa sipendi kelele kabisa so kuwa peke yangu naepukana na kelele
Una Social phobia
 
Nami mmoja wapo..sipendi kelele kabisa yani nikikaa sehemu nikaona watu wanapiga story ambazo hazinipi faida yoyte ile lazima ntanyanyuka maana mwisho wa siku tutaishia kusengenya...napenda sana nikiwa peke angu hata kwenye swala la kuangalia movie basi niangalie mwenywe au kama yupo mtu pemben yangu basi mawazo yetu yawe pamoja..sio mim nasikitika au nachka kuhusu movie we unaaza maswal unacheka nin!!....pia nadhan inanisaidia kuepuka na vitu vingi tu mfano ugomvi au marumban yasonatija...napenda kukaa peke angu nikiangalia movie..kusoma vitabu au kupeluzi kwa simu ili kujua nin kinaendelea dunia..lakin ukinifta nilipo na tukapiga story mdgomdgo hapo sawa ..ila tu usiwe mtopokaji wa ovyo!!....KUPITIA IVYO NAJIONA MWENYE FULAHA NA AMANI KULIKO KUKAA NA WATU WENGI ALAFU WAKAICHOSHA AKILI YANGU

Mkuu wewe upo kama mimi.. yani mpaka home wananishangaa
 
Habari wana JF,

Je ni tatizo gani la kisaikolojia alilonalo mtu anayependa kuishi mwenyewe, kufanya mambo yake mwenyewe, kupenda kukaa mbali na watu na hata wakiwepo wasiwe wengi sana na hata katika swala la kusoma kupenda kusoma mwenyewe kila kitu yeye ni mwenyewe, mwenyewe, mwenyewe.

Karibuni wakuu tumsaidie huyu bwana mwenyewe.
Hata mi pia nina tatzo hilo sipendi kukaa na watu wengi nimezoea kukaa peke yangu na huwa nakuwa na furaha sana nikikaa peke yangu
 
Ili uweze kuelewa vizuri hii hali soma kuhusu Personality (introvert and extrovert personality) and personality disorders.
 
Nna tabia hiyo na nimefanikiwa kimaendeleo kuliko nilivyokuwa najishughulisha na mashost!

NB : kuwa makini na marafiki, unaeza lost mazima ( na hali hii ni kwa kiasi kikubwa) au kutoka kimaisha ( minor % coz wabongo wengi wana roho mbaya sana)
 
Habari wana JF,

Je ni tatizo gani la kisaikolojia alilonalo mtu anayependa kuishi mwenyewe, kufanya mambo yake mwenyewe, kupenda kukaa mbali na watu na hata wakiwepo wasiwe wengi sana na hata katika swala la kusoma kupenda kusoma mwenyewe kila kitu yeye ni mwenyewe, mwenyewe, mwenyewe.

Karibuni wakuu tumsaidie huyu bwana mwenyewe.
Tatizo la kisaikolojia liitwalo: Socio-phobia
 
mimi napenda kukaa peke yangu,kusikiliza mziki,na kuchati na hiyo ndio ratiba yangu ya kila siku.Sipendi kujichanganya kwenye makundi ya watu kama sina sababu maalum.Aidha ikitokea nikajichanganya haizidi nusu saa naondoka. Sio mpenzi wa mpira so niko hovyo tangu utotobi hadi leo age ya 47. Huwa najishangaa lakini ndio niko hivyo.Hata sasa nichangiapo uzi huu nipo peke yangu na mziki mdogo wa laptop!!!
 
The loneliest people are the kindest. The saddest people smile the brightest. The most damaged people are the wisest
 
Aisee me sitaki shobo na mtu, wanaweka kukaa watu wanaongea hapo mimi nawasikiliza tu na kucheka mpaka nikahisi nina matatizo kumbe nimegundua haya ndio maisha yanayinipa furaha, nifanye mambo yangu nitakavyo asiniingilie mtu nisimuingilie mtu, la vie est belle
 
Social Phobia ni yule anayeogopa au kuona aibu kukaa na watu. mimi siko hivyo sina aibu kabisa na wala siogopi kukaa na watu.
Kweli kuka peke ako aimanishi ujiamin au unogopa au unaona aibu la hasha!mi bana sina aibu n wala siogop tena linapokuja suala la kunikwaza au nikuambie ukwel kuhusu jambo ambalo naliona haliko poa.. Wee lazma utashngaa ndo huyu anayekaaga kimya au! ....nakupa makavu yako tu den story zinaendelea
 
Back
Top Bottom