Burungutu la pesa
Senior Member
- Feb 21, 2015
- 117
- 32
ndoa ilikuwa halali ingawa ilikwa ya kimila
Kupima DNA ni jambo linalohusu wazazi kwa pamoja na kama anagoma unaweza omba relief kwenye reconciliation body kama hiyo ndoa ni ya kikristo na pia kama mtoto sio wako sina uhakika wa compersation but we call it Bona fide soo hayo ni maamuzi ya mahakama kama wataona kuna tortious liability na umeface damages unaweza kuwa compersated in civil suit..! But swali kubwa ili upate remedies "were you two legally married"..?
Kwa nyongeza tu, anaweza kuomba amri ya mahakama ya kufanya hiyo DNA, hii ni kwa sababu amedai mama mtoto AMEKATAA katika hali ya kawaida bila shuruti (amicably). Vinginevyo, angeweza kupata barua ya ombi la kufanya DNA toka kwa Wakili ambapo wote watatu wangefanyiwa.
Nyongeza zaidi; kutokutii (kwa makusudi) amri ya mahakama ni kosa kisheria.
Absolutely learnt brother..!