Burungutu la pesa
Senior Member
- Feb 21, 2015
- 117
- 32
Nilizaa na mama mmoja tukalea mwanetu sasa yapata miaka sita.Kwa sasa mama anasema mwana si wangu na hataki kupima DNA. na pia kama tutapima ikawa kweli si wangu. Sheria itanisaidiaje? Naomba msaada wataalam.