Msaada wa kisheria: Hataki tupime DNA

Msaada wa kisheria: Hataki tupime DNA

Burungutu la pesa

Senior Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
117
Reaction score
32
Nilizaa na mama mmoja tukalea mwanetu sasa yapata miaka sita.Kwa sasa mama anasema mwana si wangu na hataki kupima DNA. na pia kama tutapima ikawa kweli si wangu. Sheria itanisaidiaje? Naomba msaada wataalam.
 
Kupima DNA ni jambo linalohusu wazazi kwa pamoja na kama anagoma unaweza omba relief kwenye reconciliation body kama hiyo ndoa ni ya kikristo na pia kama mtoto sio wako sina uhakika wa compersation but we call it Bona fide soo hayo ni maamuzi ya mahakama kama wataona kuna tortious liability na umeface damages unaweza kuwa compersated in civil suit..! But swali kubwa ili upate remedies "were you two legally married"..?
 
ndoa ilikuwa halali ingawa ilikwa ya kimila

Kuna GN za kudeal na mambo ya Customary marriage zenyewe zina details juu ya ndoa either watoto au compersation na case zao huwa zinafunguliwa either primary court or High court but specificaly primary court ya Specific Geographical or Teritorial area kwa hiyo custom ya marriage yenu ndo ina jurisdiction on those facts..! Zipo GN mbili nakumbuka 1 yenye namba 350 na nyingne zipo in swahili na makabila yanayohusishwa ndani yake
 
Kupima DNA ni jambo linalohusu wazazi kwa pamoja na kama anagoma unaweza omba relief kwenye reconciliation body kama hiyo ndoa ni ya kikristo na pia kama mtoto sio wako sina uhakika wa compersation but we call it Bona fide soo hayo ni maamuzi ya mahakama kama wataona kuna tortious liability na umeface damages unaweza kuwa compersated in civil suit..! But swali kubwa ili upate remedies "were you two legally married"..?

Kwa nyongeza tu, anaweza kuomba amri ya mahakama ya kufanya hiyo DNA, hii ni kwa sababu amedai mama mtoto AMEKATAA katika hali ya kawaida bila shuruti (amicably). Vinginevyo, angeweza kupata barua ya ombi la kufanya DNA toka kwa Wakili ambapo wote watatu wangefanyiwa.
 
Nyongeza zaidi; kutokutii (kwa makusudi) amri ya mahakama ni kosa kisheria.
 
Back
Top Bottom