Msaada wa kisheria, Je akigundua namba yangu itampa nguvu kisheria? Na atanishtaki kwa kosa gani?

Usijali Mkuu, Tambua tuu Jf ipo kwa ajili ya ku support one another soo tunawajibika kufanya hivi ili at last "AMANI NA UPENDO VITAWALE" kuna ngoma ya reggae inaitwa ("Sisi ni ndugu watoto wa Mama mmoja" na hii ndo our Motto)
Sasa mkuu, kwa ushauli wa mwisho juu ya hiyo scandel, nifanyeje ili amani na upendo viweze kuitawala nafasi.
 
Ndugu wana bodi, amani na iwe kwenu...... Nimedatizwa na jambo hapa naomba kusaidiwa kiushauli.....

Nitasema bayana ili nieleweke wazi......

Mimi bana ni kijana(29yrs), kuna dada mmoja japo ameolewa na ana watoto wawili........ Sasa alitokea kunipenda na kunitega kwa kila namna kila nikikutana nae mara aniambie:-
*nimependeza,
*mara kiharufu cha mwili wangu ni kizuri anatamani kukisikia kila muda,
*mara mimi ni mtanashati na vingine vingi sana hadi vizawadi kidogo.....
nami nna stress zangu kama mhanga wa ajira nikaona isiwe tabu, nikamtest kumuomba namba naye akanipa, akanipangia mida ya kuwa tunachart..........

Tukachart mpaka kujikuta tupo kwenye mahusiano, na akafanya ujanja siku moja akaaga anaenda safar tukalala nae sehem mpaka asubuhi.....

Shida ni kwamba, tumeendelea kuwasiliana nae na kukutana kwa usiri mkubwa, ila JUZI mumewe akamkwapua cm kipindi anachart namimi na kuzikuta sms zetu tunazochart..... Akanyang'anywa cm mpaka dakika hii hana cm.

Leo kanitafuta ana kwa ana akanambia mumewe aliita wazazi wake, yaan wazazi wa mwanaume na kutaka amkatae mwanamke kuwa aende kwao, lakini wakaongea ongea yakaisha.

Tabu ikaja kwa makubaliano yaliyofanyika kati ya mzazi na mume mtu ya kwamba, waipeleleze ile namba ni ya nani, ambayo nilikuwa naitumia kuwasiliana na mwanamke huyo( namba yangu mimi) ili wakishamjua mmliki wake waende kumshtaki kwa mtendaji........ Kuanzia hapo wananibeep kwa kutumia line ya mwanamke ila sipigi simu maana nmeshatonywa.

Swali langu ni je, kama jamaa atanigundua na hajanikamata, ila akagundua mwenye ile namba ni nani? Je hii itampa nguvu kisheria kwenda kunishtaki?

Je kama akinishtaki kwa mtendaji, atanishtaki kwa kosa lipi kisheria? Maana sijatuma sms za matusi..... Pia mwanamke alinikana kuwa hanijui na hajui huyo mtu anaemtumia sms ni nani......

Hiyo imekaaje kwenu wajuvi wa mambo? Asanteni.
Kumbe ni wewe? Aksante, umetusaidia kukuju zaidi. Hongera kwa kuiba mke wa jamaa yangu, ntamfikishia salam zako
 
hayo ndio mawazo ya kiume lazima uwe na akili ya kuwaza haraka haraka...nadhani njia hii itasaidia sana
 
Mkuu,
Nenda haraka police, katoe taarifa ya kupotelewa na cm baade nenda ofisi za line waambie nimepotelewa cm ila namba inapatikana ki usalama naomba kuiblock hiyo namba.
hayo ndio mawazo ya kiume lazima uwe na akili ya kuwaza haraka haraka...nadhani njia hii itasaidia sana
 
Sasa mkuu, kwa ushauli wa mwisho juu ya hiyo scandel, nifanyeje ili amani na upendo viweze kuitawala nafasi.
Fanya mabo ya kimaendeleo i mean shughuli za kijamii.! Achana kuwaza na hizo habari hazina ugumu wala kukugharimu amani yako kama Mtanzania kikubwa hapo watakuita wakuonye tuu koz tatizo ni mke wa jamaa sio wewe
 
Watanionya bila kunikamata? Je nikiitwa c nitasema ninaetuhumiwa nae hata simfaham na itabidi aitwe,na akija naye atakana sio mimi, sasa hapa c watanipa ticket ya kuwashtaki kwa kunidhalilisha.
 
Mkuu kama case itaisha baada ya nyinyi kuitwa na ikaonekana hauna kosa ama umeonywa.! Ukiamini kuwa ulishawahi kufanya kitu na Mke wa jamaa,

Nakushauri uachane na hiyo mambo uishi maisha yako tuu cause pesa ya kuendesha mitigation na ni time consumer sana.! Pia akipata wakili mzuri wanaweza kusanya ushahidi ukashinda ama kushindwa
 
Swali langu ni je, kama jamaa atanigundua na hajanikamata, ila akagundua mwenye ile namba ni nani? Je hii itampa nguvu kisheria kwenda kunishtaki?

Je kama akinishtaki kwa mtendaji, atanishtaki kwa kosa lipi kisheria? Maana sijatuma sms za matusi..... Pia mwanamke alinikana kuwa hanijui na hajui huyo mtu anaemtumia sms ni nani......

Kwa nini akakushtaki?

Alimdanganya mke wake tu, lengo lake ni wewe upigwe miti, tena huku camera inachukua matukio.

Kama namba umesajili kwa jina na umetumia kitambulisho, haitachukua muda kukufahamu na hapo ndo utaundiwa zengwe watu wafanye yao.
 
Msukuma mmoja mshamba mshamba huo ujanja hana, na n mtu wa kuhamia mimi ni mzaliwa hapa. Aliyetoa wazo la kwenda kushtaki ni mama mzazi wa mume, ni kweli no nmesajili kwa kutumia kitambulisho changu. Sasa kunifaham tu ni huyu c mpaka wanivizie na kunikamata na kitu ambacho si rahisi.
 
Haya!
 
Mkuu kama case itaisha baada ya nyinyi kuitwa na ikaonekana hauna kosa ama umeonywa.! Ukiamini kuwa ulishawahi kufanya kitu na Mke wa jamaa,

Nakushauri uachane na hiyo mambo uishi maisha yako tuu cause pesa ya kuendesha mitigation na ni time consumer sana.! Pia akipata wakili mzuri wanaweza kusanya ushahidi ukashinda ama kushindwa
Hana ujanja wa kutafuta wakili, sasa mkuu mke akinikana kuwa si mimi, hapo c nitakuwa nimedhalilishwa?

Ukweli ni kuwa c kucngiziwa, namega kweli, tatzo ni kwamba kunikamata sio rahisi.
 
I mean unazuia namba mpya zisiwe na uwezo wa kukutumia sms na kupiga!
Kuiblock mkuu c rahisi ina maofa ya university promo hvo hata nikiwa kwenye shimo najiunga na university promo. Lakini leo nmeenda police kutoa taarifa ya kupotelewa na cm ikiwa na line.
 
... Pia mwanamke alinikana kuwa hanijui na hajui huyo mtu anaemtumia sms ni nani......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza ukawasiliana na mtu ambaye humjui mpaka mnagegedana bado humjui!?? Ukiacha ajabu la phd holder asiyejua ngeli...hili nalo ni lingine!!!

Pole sana arifu
 
Dem alijibu kuwa hanijui,,,,, hawana proof kuwa tumegegedana, ila kuna sms dem alinambia kuwa, baby nakujaaaa, nami nikamwambia njoo pita njia ya siku ile utanikuta pa siku ile, sasa hyo inaweza kuthibitisha kuwa tunafahamiana?
 
Mkuu mpaka mnaambiana "mkutane tena pa siku ile" ina maana mnajuana na mshakutana "siku ile"!! Which means mmeonana!! Na kama mmeonana anakujua!! Kiufupi usijipe moyo hewa...kama wakiamua kukomaa jua mna kazi!!

NB unakumbuka ile kesi ya lema voda walienda kutoa ushahidi??? Sasa what if mtandao unaotumia (bora isiwe voda maana umeisha) wakaenda kutoa data zako kuanzia maongezi mpaka sms???

Ni hayo tu ndugu!! We ni mtu mzima...wadogo zako na ndugu wanakuangalia wewe...sasa unadhan watajiskiaje kama ukiwekwa ndan kwa kesi ya kitoto kama hii???
 
Natumia tigo, mwanamke hata akiitwa atanikana kuwa cjawahi hata kumtongoza..... Kesi....!? Kwani kuna tusi ama uchochezi hapo?
 
Back
Top Bottom