Msaada wa kisheria kidogo

Msaada wa kisheria kidogo

gracemwakilasa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
538
Reaction score
1,281
Habari wadau najua humu mtu hawezi kosa ushauri mzuri.

Nina rafiki yangu mmoja hayupo humu Ila alipata changamoto kidogo kazini.

Yupo serikalini Ila mmoja wa Boss wake alimfanyia Defamation kwa familia yake akiwa mgonjwa.

Kwamba aliumwa Sasa akawa amemuomba mmoja wa member wa family yake kumchukulia sickshit kazini. Basi boss huyo akawa anakataa kumpa sicksheet akidai kwanza yeye hawapatani kiko wapi sasa, mbona amepata shida tuone Nani atamsainia na kuanza KUMSEMA maneno mengi yenye hila ndani yake na mengi ya kuchafuliwa bila hata kujua undani wa undugu wa huyo mgonjwaa na aliyemtuma.

Hali hiyo ilimpekekea usumbufu mkubwa maana ndugu yule alipotoka pale naye hakuweza kuvumilia Naye akaanza kusimulia kwa ndugu jamaa na marafiki hali ya kazini kwa ndugu yake.

Hata aliporejea kazini kujaribu kuongea na na Boss mkuu akuna la zaidi zaidi ya kusema mwachie Mungu na mshtakie Mungu tu atapambana Naye.

Swali anaweza akamfungulia madai ya udhalilishwaji kazini au afanyeje Mana alichafuliwa Sana. Mana wkt anamsema kwa ndugu alikuwa anawaita na wafanyakakazi wengine mpaka wengine kumpigia simu kwa Hali ilivyokuwa kwa maana ametumia madaraka yake usivyo.

Ushauri.
 
Personally, What I think damage aliyoipata ni ndogo sioni haja ya yeye kufungua kesi mahakamani, atapoteza fedha kuendesha kesi, muda na atatengeza chuki dhidi ya boss wake hali inayoweza mletea shida mbeleni kwenye kuteleza majukumu yake ya kazi, asamehe tu,amuachie Mungu.
 
Hakuna ground ya ku prove hayo maneno , kwanza hakuwepo. Je hawezi muachia Mungu? Tofauti na hapo anapoteza muda
 
Kasemaje? hayo alosema ni yapi ainisha ili yawe qualified au disqualified kukidhi ama kutokukidhi
Anavyosema ni kwamba Yule ndugu yake alipofika na kumuulizia Boss kwanza wote wawili hawakuwepo Secretary akamshauri asubiri na baada ya muda akatokea Yule Boss mdogo. Alipomfuata na kumuelezea shida yake ndo akaanza Yule Ni Nani wako? Akasema ni mama yangu mdogo kwa maana mume wake namuita Baba mdogo.

Ndo akaanza sitamsainia ili akome kwanza alinitukana kwenye whatsaap Sasa akatokea mfanyakazi mmoja na kumuomba sms ya kutukanwa ili na wao waone alipowaonyesha na kusomq kumbe ilikuwa ni lalamiko tu la huyo Boss kumchomea kwa boss mpya ili aonekane hafai pia akamsimulia Siri zake za familia alizowahi kumsimulia na Boss (wa kike Naye)kwenye kikao cha jumla cha wafanyakazi wote akawa anasimulia kwa kumtaja kabisa jina na aliyemwambia.Hali ile ilipelekea Yule Dada kumlalamikia huyo Boss mdogo why amemfanyia vile kumsimulia boss na boss kwenda kwenye kikao kwa vitu vya familia?

Sasa kumbe hakupenda alivyoulizwa Naye ndo akaja kulipishia kwa kumchafua zaidi kwa huyu aliyetumwa kuchukua form ya ruhusa.

In short huyo Boss mdogo lengo lake huyo Mama aonekane mbaya kazini na Nyumbani kwa kukwepa makosa yake
 
Omba kuonana na Hr amwte uyo bos wako umweleze changamoto yenu vile ujapenda anavyokuchukulia na yeye atasema kinachomfanya awe harsh ivyo kwako kama n ishu za kiutendaj wekanen sawa na hr atampa onyo la mdomo na shda yenu itaisha kulko kuishia kukoromea kwenye ma korido ya ofc
 
Anavyosema ni kwamba Yule ndugu yake alipofika na kumuulizia Boss kwanza wote wawili hawakuwepo Secretary akamshauri asubiri na baada ya muda akatokea Yule Boss mdogo. Alipomfuata na kumuelezea shida yake ndo akaanza Yule Ni Nani wako? Akasema ni mama yangu mdogo kwa maana mume wake namuita Baba mdogo.

Ndo akaanza sitamsainia ili akome kwanza alinitukana kwenye whatsaap Sasa akatokea mfanyakazi mmoja na kumuomba sms ya kutukanwa ili na wao waone alipowaonyesha na kusomq kumbe ilikuwa ni lalamiko tu la huyo Boss kumchomea kwa boss mpya ili aonekane hafai pia akamsimulia Siri zake za familia alizowahi kumsimulia na Boss (wa kike Naye)kwenye kikao cha jumla cha wafanyakazi wote akawa anasimulia kwa kumtaja kabisa jina na aliyemwambia.Hali ile ilipelekea Yule Dada kumlalamikia huyo Boss mdogo why amemfanyia vile kumsimulia boss na boss kwenda kwenye kikao kwa vitu vya familia?

Sasa kumbe hakupenda alivyoulizwa Naye ndo akaja kulipishia kwa kumchafua zaidi kwa huyu aliyetumwa kuchukua form ya ruhusa.

In short huyo Boss mdogo lengo lake huyo Mama aonekane mbaya kazini na Nyumbani kwa kukwepa makosa yake
Kama upo serikalini katika idara inayojitegemea. mfano TRA, TANESCO NK. Wasilisha malalamiko yako kwa mkuu wa idara kama ikishindikana peleka public service commission, kama nimwalimu ipo idara inayoshighulikia changamoto hizo, kama ni local government peleka kwa mkurugenzi. Malalamiko yapelekwe kwa njia ya barua.

Then wewe na huyo nduguyo mtakuw a mashahidi.

Lugha za kibaguzi, matusi NK. hazikubaliki mahali pakazi kisheria
 
Personally, What I think damage aliyoipata ni ndogo sioni haja ya yeye kufungua kesi mahakamani, atapoteza fedha kuendesha kesi, muda na atatengeza chuki dhidi ya boss wake hali inayoweza mletea shida mbeleni kwenye kuteleza majukumu yake ya kazi, asamehe tu,amuachie Mungu.
Ushauri mzuri Sana huu Hatanmimi niliona Anaumia Sana Mana alimtolea Siri kwa ndugu wa mumewe Mambo yakazini na Yule ndugu akaanza kusimulia ndugu wa mume mpaka yakamfikia mumewe vikao vikaanza.Na kitu kilichomuuma zaidi Ni Ile Hali ya kusimulia yaliyomkutaga kwa mumewe hapo zamani Hali iliyopelekea kupoteza uwezo wa kufanya kazi vizuri alikuwa abused .Naoana walikuwa wanapeana moyo kwenye Mambo ya familia huyu akimsimulia yakiyowahi kumkuta ikiwepo kumfumania mumewe na mwanamke mwingine ndani na huyo Boss mdogo Naye akamsimulia na akaenda mbali akaelezea kwamba Kuna wkt akiwa amejifungua mtoto kwa njia ya operation ndani ya wiki mumewe alikuwa anamkaba na kumwingilia kwa nguvu bila kujali maumivu Hali iliyopelekea tatizo la kufumuka mshono na mazungumzo hayo yalikuja ili aelewe kwa Nini anaumwa Mara kwa Mara na kulazwa Kuna tatizo lilisababisha lengo anapoomba ruhusa wakati mwingine amwelewe ya kupumzika maana anadai tatizo Hilo liliibua matatizo mengine.Sasa.haya na mengine huyo Boss mdogo ndo akawa anamsimulia ndugu wa mume kama kejeli kwamba kwanza aliwahi nisimulia na hayo japo Lengo halikuwa Hilo.Sasa haya yamemuumiza Sana.Ndo hapa unakuja.msemo watu wasipende Sana kusimulia ya ndani yote hata Kama atahisi huyu anaweza kumsaidia huishia kujeruhiwa(kuhusu Hali ya mumewe alishashtakiwa kwa vitendo vyake kwa mkewe na akaacha.
 
Back
Top Bottom