gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,281
Habari wadau najua humu mtu hawezi kosa ushauri mzuri.
Nina rafiki yangu mmoja hayupo humu Ila alipata changamoto kidogo kazini.
Yupo serikalini Ila mmoja wa Boss wake alimfanyia Defamation kwa familia yake akiwa mgonjwa.
Kwamba aliumwa Sasa akawa amemuomba mmoja wa member wa family yake kumchukulia sickshit kazini. Basi boss huyo akawa anakataa kumpa sicksheet akidai kwanza yeye hawapatani kiko wapi sasa, mbona amepata shida tuone Nani atamsainia na kuanza KUMSEMA maneno mengi yenye hila ndani yake na mengi ya kuchafuliwa bila hata kujua undani wa undugu wa huyo mgonjwaa na aliyemtuma.
Hali hiyo ilimpekekea usumbufu mkubwa maana ndugu yule alipotoka pale naye hakuweza kuvumilia Naye akaanza kusimulia kwa ndugu jamaa na marafiki hali ya kazini kwa ndugu yake.
Hata aliporejea kazini kujaribu kuongea na na Boss mkuu akuna la zaidi zaidi ya kusema mwachie Mungu na mshtakie Mungu tu atapambana Naye.
Swali anaweza akamfungulia madai ya udhalilishwaji kazini au afanyeje Mana alichafuliwa Sana. Mana wkt anamsema kwa ndugu alikuwa anawaita na wafanyakakazi wengine mpaka wengine kumpigia simu kwa Hali ilivyokuwa kwa maana ametumia madaraka yake usivyo.
Ushauri.