Mwandikie barua in charge umweleze matatizo hayoHabarini Wakuu
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.Kuna kesi ya ndugu yangu Mahakama Fulani ya CMA ambayo kimsingi ilishafungwa ushahidi miezi kadhaa iliyopita
Kinachoshangaza kila wakienda kwenye hukumu wanapigwa tarehe,ni miezi kadhaa sasa
Utaratibu unatakaje?ama ni hatua gani wanastahili kuchukua juu ya hili?
Naomba kuwasilisha
Wenu Mdau
Majibu hapa manguli wa sheriaHabarini Wakuu
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.Kuna kesi ya ndugu yangu Mahakama Fulani ya CMA ambayo kimsingi ilishafungwa ushahidi miezi kadhaa iliyopita
Kinachoshangaza kila wakienda kwenye hukumu wanapigwa tarehe,ni miezi kadhaa sasa
Utaratibu unatakaje?ama ni hatua gani wanastahili kuchukua juu ya hili?
Naomba kuwasilisha
Wenu Mdau
Yaani mahakimu/waamuzi utadhani hawana Supervisor,wanafanya kazi kwa speed wanayoitaka. Hili ni tatizoMahakama wananishangaza hapo tu...unakuta siku uliyopangiwa imefika... na kila mahakama wanachotaka umekamilisha...ila bado unakuta kesi inahairishwa
Hata mimi hili tatizo limenitokea, tumepeleka final submission toka Jan 5, 2021 lkn mpaka leo uamuzi bado haujatoka.Yaani mahakimu/waamuzi utadhani hawana Supervisor,wanafanya kazi kwa speed wanayoitaka. Hili ni tatizo
Ni mahakama ya kawaida ama CMA?Hata mimi hili tatizo limenitokea, tumepeleka final submission toka Jan 5, 2021 lkn mpaka leo uamuzi bado haujatoka.
Mh hapo mnaambiwa mkono mtupu haulambwi mjiongeze! Tangu Januari tunaingia Julai!!!!Hata mimi hili tatizo limenitokea, tumepeleka final submission toka Jan 5, 2021 lkn mpaka leo uamuzi bado haujatoka.
Ni CMANi mahakama ya kawaida ama CMA?
Daaaah,mungu atusaidie,kwa mtindo huu ni changamotoNi CMA
Hekima ina nafasi yake,mtu kapunguzwa kazi,akafungua mgogoro,umesikilizwa mwaka mzima na bado jobless,hiyo hela ya kukupa atoe wapi??Mh hapo mnaambiwa mkono mtupu haulambwi mjiongeze! Tangu Januari tunaingia Julai!!!!
Nimejaribu kuulizia kama ni muda gani kabla ya kupaza sauti(Whistle Blowing) kwa vyombo vingine kama PCCB,muda unaovumilika ni siku 90 kutoka tarehe rasmi ya hukumu,zaidi ya hapo unapaswa kupaza sauti na unakuwa uko kwenye utaratibu/sheriaHata mimi hili tatizo limenitokea, tumepeleka final submission toka Jan 5, 2021 lkn mpaka leo uamuzi bado haujatoka.
Hivi ukienda PCCB huyo Mwamuzi hawezi kukutolea Uamuzi mbovu?Nimejaribu kuulizia kama ni muda gani kabla ya kupaza sauti(Whistle Blowing) kwa vyombo vingine kama PCCB,muda unaovumilika ni siku 90 kutoka tarehe rasmi ya hukumu,zaidi ya hapo unapaswa kupaza sauti na unakuwa uko kwenye utaratibu/sheria
Nafikiri ni vema kuangalia chombo sahihi ambapo unaona kinafaa katika kupaza sautiHivi ukienda PCCB huyo Mwamuzi hawezi kukutolea Uamuzi mbovu?