Habarini Wakuu
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.Kuna kesi ya ndugu yangu Mahakama Fulani ya CMA ambayo kimsingi ilishafungwa ushahidi miezi kadhaa iliyopita
Kinachoshangaza kila wakienda kwenye hukumu wanapigwa tarehe,ni miezi kadhaa sasa
Utaratibu unatakaje?ama ni hatua gani wanastahili kuchukua juu ya hili?
Naomba kuwasilisha
Wenu Mdau