Msaada wa Kisheria Kucheleweshewa Hukumu

20 Maker

Member
Joined
May 4, 2019
Posts
44
Reaction score
67
Habarini Wakuu
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.Kuna kesi ya ndugu yangu Mahakama Fulani ya CMA ambayo kimsingi ilishafungwa ushahidi miezi kadhaa iliyopita
Kinachoshangaza kila wakienda kwenye hukumu wanapigwa tarehe,ni miezi kadhaa sasa
Utaratibu unatakaje?ama ni hatua gani wanastahili kuchukua juu ya hili?

Naomba kuwasilisha
Wenu Mdau
 
Mwandikie barua in charge umweleze matatizo hayo
 
Habarini Wakuu
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.Kuna kesi ya ndugu yangu Mahakama Fulani ya CMA ambayo kimsingi ilishafungwa ushahidi miezi kadhaa iliyopita
Kinachoshangaza kila wakienda kwenye hukumu wanapigwa tarehe,ni miezi kadhaa sasa
Utaratibu unatakaje?ama ni hatua gani wanastahili kuchukua juu ya hili?

Naomba kuwasilisha
Wenu Mdau
Majibu hapa manguli wa sheria
 
Mahakama wananishangaza hapo tu...unakuta siku uliyopangiwa imefika... na kila mahakama wanachotaka umekamilisha...ila bado unakuta kesi inahairishwa
 
Yaani mahakimu/waamuzi utadhani hawana Supervisor,wanafanya kazi kwa speed wanayoitaka. Hili ni tatizo
 
Hata mimi hili tatizo limenitokea, tumepeleka final submission toka Jan 5, 2021 lkn mpaka leo uamuzi bado haujatoka.
 
Mh hapo mnaambiwa mkono mtupu haulambwi mjiongeze! Tangu Januari tunaingia Julai!!!!
Hekima ina nafasi yake,mtu kapunguzwa kazi,akafungua mgogoro,umesikilizwa mwaka mzima na bado jobless,hiyo hela ya kukupa atoe wapi??
 
Hata mimi hili tatizo limenitokea, tumepeleka final submission toka Jan 5, 2021 lkn mpaka leo uamuzi bado haujatoka.
Nimejaribu kuulizia kama ni muda gani kabla ya kupaza sauti(Whistle Blowing) kwa vyombo vingine kama PCCB,muda unaovumilika ni siku 90 kutoka tarehe rasmi ya hukumu,zaidi ya hapo unapaswa kupaza sauti na unakuwa uko kwenye utaratibu/sheria
 
Hivi ukienda PCCB huyo Mwamuzi hawezi kukutolea Uamuzi mbovu?
 
Back
Top Bottom