Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 879
- 991
Kwema Humu?
Za Wikiend?
Kuna Bwana Mmoja hivi nilimkopeshaga hela akaweka rehani hati ya "collateral". Zile hela alishindwa kuzilipa lakini nilivyofatilia mamlaka iliyotoa ile hati nkagundua kua kumbe hati alionipa ni Certified Copy , Original amekopea Mkopo Benki.
Nimemshtaki kwenye Mahakama moja ya Mwanzo na amekiri kweli kukopeshwa na mimi na kushindwa kulipa. Baada ya kukiri kosa Mahakama ilitoa nafasi anilipe ndani ya muda fulani lakini bado akashindwa pia kunilipa.
Baada ya kupewa "Nakala ya Hukumu" nikaandika barua ya kuomba "kukazia hukumu" mara ya kwanza lakini hakuna lilifanyika. Nikaandika barua ya Pili (Reminder) lakini still pia hakuna lililofanyika.
Naomba kueleweshwa hapa, nini napaswa kufanya? Toka hukumu itoke ni mwaka sasa umepita.