Msaada wa Kisheria kuhusu kesi ya madai Iliyokwishamalizika

Lady Ra

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
879
Reaction score
991
Kwema Humu?
Za Wikiend?

Kuna Bwana Mmoja hivi nilimkopeshaga hela akaweka rehani hati ya "collateral". Zile hela alishindwa kuzilipa lakini nilivyofatilia mamlaka iliyotoa ile hati nkagundua kua kumbe hati alionipa ni Certified Copy , Original amekopea Mkopo Benki.

Nimemshtaki kwenye Mahakama moja ya Mwanzo na amekiri kweli kukopeshwa na mimi na kushindwa kulipa. Baada ya kukiri kosa Mahakama ilitoa nafasi anilipe ndani ya muda fulani lakini bado akashindwa pia kunilipa.

Baada ya kupewa "Nakala ya Hukumu" nikaandika barua ya kuomba "kukazia hukumu" mara ya kwanza lakini hakuna lilifanyika. Nikaandika barua ya Pili (Reminder) lakini still pia hakuna lililofanyika.

Naomba kueleweshwa hapa, nini napaswa kufanya? Toka hukumu itoke ni mwaka sasa umepita.
 
mkopo wako haukua na macho ya kisheria tayari ulikua illegal....... kufanya execution kwenye illegal contracts haiwezekani mlitakiwa kumaliza ilo swala nje ya mahakama na sio mahakamani sasa ni vigumu kuendelea na execution kwasababu huwez kuexecuteb kitu ambacho tayari kina illegality ndani yake.... mikopo ni biashara na kuna taasisi rasmi za hio biashara kwaivo mkudhulumiana huku mtaani itabid muishie kimta mtaa tu
 
Why mkopo uwe illegal? Tatizo lipo kwenye mkopo or kwenye document iliyotumika kama rehani??
 
mkopo wako haukua na macho ya kisheria tayari ulikua illegal....... kufanya execution kwenye illegal contracts haiwezekani mlitakiwa kumaliza ilo swala nje ya mahakama na sio mahakamani sasa ni vigumu kuendelea na execution kwasababu huwez kuexecute kitu ambacho tayari kina illegality ndani yake.... mikopo ni biashara na kuna taasisi rasmi za hio biashara kwaivo mkidhulumiana huku mtaani itabid muishie kimta mtaa tu
Ina maana akija mtu kwako ana shida akaomba umuazime hela atarudisha huruhusiwi?
 
Why mkopo uwe illegal? Tatizo lipo kwenye mkopo or kwenye document iliyotumika kama rehani??
Yaani hata sijamuelewa,
Mbona basi Kesi imefika Mahakamani na waliipokea na imeshaisha?
Nachouliza au kuomba msaadani kua Hukumu ikishatolewa, nini kinafuata?
Nimeshaandika barua ya kukazia hukumu, nini nifanye then?
 
Ninachojua ulitakiwa upewe decree (kikazia hukumu) the day umepewa judgment. Ili uweze ku-execute haki zako kwenye hiyo hukumu. Judgment na decree zinaenda pamoja. Kwenye barua yako ungeomba judgment, decree pamoja na proceedings ambazo zitakusaidia kwenye necessary step forward kama itahitajika mfano kukata rufaa.
NB: HUKUMU IKISHATOKA KINACHOFUATA NI KUITEKELEZA AMBAPO DECREE HOLDER ATA EXECUTE DECREE YAKE AGAINST THE JUDGMENT debtor huwezi kamwe KUITEKELEZA kama hauna decree.
 
Sawa kaka,
So naweza kuwaandikia wanipe hiyo decree?
Au naiomba kwa mdomo tu?
Maana baada ya kupewa Nakala ya Hukumu niliwaandikia tu kuwaomba kukazia Hukumu
 
Hapo wanatengeneza mazingira ya wewe kuwapa RUSHWA nothing else!! Meanwhile nenda masjala yao ulipofile hiyo barua wapige mkwara wa hatari cuz ni HAKI YAKO.
 
Barua zote mbili nina kopi zake walizosaini kupokea original,
Pengine ni mazingira ya mimi kuwapa rushwa au washadaka upande wa pili,
Naogopa naweza kuingia na mkwara nikaishia kuwekwa ndani kua nafanya fujo, maana mahakama zao wenyewe
 
Kuwekwa ndani??? Hahaha mama uoga ni umasikini, nenda kwa huyo mheshimiwa alieskiliza na kuamua hiyo kesi mweleze tatizo lako usianzie ata kwa uliowapa barua. Nenda kwake straight.
TIME IS OF THE ESSENCE , decree yenyewe ina muda wa KUITEKELEZA fatilia mapema.
 
Ukiona Kuna tatizo nenda kwa Mwanasheria na nyaraka zako akushauri kwa uzuri... Hata Kama kukamata mali zake nk... Hapo kuña makosa mengi Sana bila msaada wa Mwanasheria una weza usiyaone
 
Sawa Mkuu, ahsante kwa ushauri
 
Kuwekwa ndani??? Hahaha mama uoga ni umasikini, nenda kwa huyo mheshimiwa alieskiliza na kuamua hiyo kesi mweleze tatizo lako usianzie ata kwa uliowapa barua. Nenda kwake straight.
TIME IS OF THE ESSENCE , decree yenyewe ina muda wa KUITEKELEZA fatilia mapema.
Kwake naendaga, na akiniona tu huniitishaga file/case number ili alifanyie kazi, lakini nikitoka tu hapo nadhani ndio huishiaga hapo hapo
 
RUSHWA RUSHWA RUSHWA RUUUUUUUUUUSHWA!! Umeamua kumdekeza sana!! This time nenda ata na MTU wa PCCB. The world is CROOKED mama! usiwe na HURUMA HIVYO KWENYE HAKI YAKO
 
Ok,
Labda Mamlaka za Juu au ya Kinidhamu ya Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ni nani/ipi?
Tuseme ni labda Msajili wa Mahakama hapo mahakamani au labda Niende Mahakama ya Juu yake kukata rufaa?
 
Kwema Humu?
Za Wikiend?

Kuna Bwana Mmoja hivi nilimkopeshaga hela akaweka rehani hati ya "collateral". Zile hela alishindwa kuzilipa lakini nilivyofatilia mamlaka iliyotoa ile hati nkagundua kua kumbe hati alionipa ni Certified Copy , Original amekopea Mkopo Benki.

Nimemshtaki kwenye Mahakama moja ya Mwanzo na amekiri kweli kukopeshwa na mimi na kushindwa kulipa. Baada ya kukiri kosa Mahakama ilitoa nafasi anilipe ndani ya muda fulani lakini bado akashindwa pia kunilipa.

Baada ya kupewa "Nakala ya Hukumu" nikaandika barua ya kuomba "kukazia hukumu" mara ya kwanza lakini hakuna lilifanyika. Nikaandika barua ya Pili (Reminder) lakini still pia hakuna lililofanyika.

Naomba kueleweshwa hapa, nini napaswa kufanya? Toka hukumu itoke ni mwaka sasa umepita.
Nadhani umesema umeandika barua lakini nijuavyo mimi ni kuwa unakwenda kuandika barua ya execution ukiwa na attachment ya kitu chake mfano gari, nyumba au bank account yake, then mahakama itafanya hivyo na si vinginevyo
 
Ahsante,
But attachment ya kivipi labda?
Nyumba yake najua tu mahali iliko, Na Bank Statement yake kuipata sio rahisi
 
mkopo wako haukua na macho ya kisheria tayari ulikua illegal....... kufanya execution kwenye illegal contracts haiwezekani mlitakiwa kumaliza ilo swala nje ya mahakama na sio mahakamani sasa ni vigumu kuendelea na execution kwasababu huwez kuexecuteb kitu ambacho tayari kina illegality ndani yake.... mikopo ni biashara na kuna taasisi rasmi za hio biashara kwaivo mkudhulumiana huku mtaani itabid muishie kimta mtaa tu
You're cheating the juristic platform, with great respect we're not prepared to accept the sinking boat. SHOW HOW THEIR MKATABA IS VOID.
 
Back
Top Bottom