Msaada wa Kisheria kuhusu kesi ya madai Iliyokwishamalizika

Ina maana akija mtu kwako ana shida akaomba umuazime hela atarudisha huruhusiwi?
Inaruhusiwa na ni mkataba halali, isipokuwa PASIWE NA RIBA. Makubaliano kama hayo ni halali kisheria kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha sheria ya mikataba sura Na. 345 toleo la 2002.

Ila Mkataba mkikubaliana kuwa fedha ilirudishe na riba, ndipo riba ile hutoipata ww mkopeshaji kwani mtakiuka kifungu ch 6 cha sheria ya Benki na taasisi za kifedha ya mwaka 2006.
 
Ahsante,
But attachment ya kivipi labda?
Nyumba yake najua tu mahali iliko, Na Bank Statement yake kuipata sio rahisi
Nafikiri kama unataka kufanikiwa kwa Hilo, tafuta wakili atajua jinsi ya kufanya na pia km kesi imeanzia primary court anawez kuihamisha na kuipeleka district court na utafanikiwa. Pia mimi kwa experience yangu nimekutana na watu wengi huwa wananyanyasika Sana huku primary court kutokn na kutokutendewa haki kama yako na huwa ninachofanya ni kuhamisha kesi kuleta district court. Hyo kesi yako km mahakama imeshakupa haki yako, kinachobaki ni sehemu ndogo tu ya kumalizia
 
Sawa Mku wangu,
Ahsante sana kwa ushauri, Nitatafuta wakili.
Sasa kesi ambayo imeshaisha na hukumu ikatolewa kwamba Mdaiwa anilipe,je inaweza kuhamishwa?
 
Kama unaweka wakili basi anawez kuihamisha toka primary court to district maana wakili hawez simama primary court na haruhusiwi kisheria
 
Sawa, nashukuru
Na kwa hapo ilipofikia inaweza kuhamishika? Manake ni kama tu imeshaisha naona
 
Mbona ninachokuambia una mashaka nacho? Unless unataka kuendelea nayo hapo hapo. Suala la execution unalotaka kufanya ni kesi mpya kabisa tofauti na hyo iliyoisha na pia inasikilizwa kwa pande zote mbili hadi maamuzi, that's why wakili hawez simama primary court, take my piece of an advice. Unless kuna tofauti na maelezo yko, mimi ni wakili
 
Anhaa,
Sikujua kama ni hivyo Mkuu
 
Kwema Humu?
Za Wikiend?

Kuna Bwana Mmoja hivi nilimkopeshaga hela akaweka rehani hati ya "collateral". Zile hela alishindwa kuzilipa lakini nilivyofatilia mamlaka iliyotoa ile hati nkagundua kua kumbe hati alionipa ni Certified Copy , Original amekopea Mkopo Benki.

Nimemshtaki kwenye Mahakama moja ya Mwanzo na amekiri kweli kukopeshwa na mimi na kushindwa kulipa. Baada ya kukiri kosa Mahakama ilitoa nafasi anilipe ndani ya muda fulani lakini bado akashindwa pia kunilipa.

Baada ya kupewa "Nakala ya Hukumu" nikaandika barua ya kuomba "kukazia hukumu" mara ya kwanza lakini hakuna lilifanyika. Nikaandika barua ya Pili (Reminder) lakini still pia hakuna lililofanyika.

Naomba kueleweshwa hapa, nini napaswa kufanya? Toka hukumu itoke ni mwaka sasa umepita.
Mwenye kukaza hukuma hatuandiki barua tunajaza form maalum, kama sikosei form no.10 hizo barua ulikuwa unamuandikia nani?
 
Ili ifanye nn?
Mahakama i-initiate process za Kuuza any of his Property that I will be able to mention and confirmed to be belonged to him,
Nimewaza tu hivyo, waweza kunisaidia please if i am wrong
 
What ur suppose to do is, to fill form number 10 which will include decretal sum, that we call execution of the decree,

The court will follow next procedure....
 
Brother,
Kuna mtu alini advice about that decree, but kuna mwengine akiambia issues of decree is not applicable in Primary Courts. But what I will do nitaenda Mahakamani kuomba that form # 10 nisikie watasemaje
 
Kesi ipo primary court?
 
Back
Top Bottom