sagaciR
JF-Expert Member
- Jun 17, 2017
- 644
- 878
Inaruhusiwa na ni mkataba halali, isipokuwa PASIWE NA RIBA. Makubaliano kama hayo ni halali kisheria kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha sheria ya mikataba sura Na. 345 toleo la 2002.Ina maana akija mtu kwako ana shida akaomba umuazime hela atarudisha huruhusiwi?
Ila Mkataba mkikubaliana kuwa fedha ilirudishe na riba, ndipo riba ile hutoipata ww mkopeshaji kwani mtakiuka kifungu ch 6 cha sheria ya Benki na taasisi za kifedha ya mwaka 2006.