Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
- Thread starter
- #161
We nae una mentality za kisengeKumbe ni mbukoba mnapendana sana makesi ya Kise***# tafuta pesa halali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nae una mentality za kisengeKumbe ni mbukoba mnapendana sana makesi ya Kise***# tafuta pesa halali
Labda Kama we ni mtotoWe nae una mentality za kisenge
Aseme ni rafiki tu akisema ni mpenz kamfungaBasi mwacheni mtendaji apambane mwenyewe muone ataishia wapi.
Huyo binti asimame mwenyewe aseme yule ni mpenzi wake na anampenda.
Video tu haitoshi kumtia hatianiWeka video tuone
Kijana ana miaka mingapi?Ndugu wa JF hapa kuna Mvulana ( Sio Mwanafunzi) alikamatwa na Msichana (Mwanafunzi).
Alipokamatwa akaitwa mtendaji wa kata pamoja na baba mzazi wa binti. Kesi ikapelekwa Polisi then mahakamani. Mahakama inataka ushahidi (Ambao tayari upo maana walipigwa picha na video wakiwa pamoja)
Mtendaji amekuwa akiwalazimisha wazazi wa binti hususani mwanamke (ambaye hakuwepo kwenye tukio) kufika mahakamani kutoa ushaidi na mama amegoma kwa madai ya kuwa hakuwepo kwenye tukio hivyo hana ushaidi wa kuiambia mahakama lakini pia na ugumu wa maisha hana nauli za kumpeleka mahakamani.
Swali langu: Je huo ushaidi wa picha hautoshi kumfunga huyo kijana?. Na je anayehitajika kutoa ushaidi ni upande wa wazazi au wale waliowakamata na kupeleka taarifa kwa mtendaji.
Naomba kuwasilisha.
Kwani wewe ni nani kwenye hii kesi?Mimi nimeshindwa kujua anachokitaka nilipewa namba nikampigia anasema eti anataka wazazi waunge mkono juhudi zake za kuzui mapenzi kwa wanafunzi [emoji23][emoji23]