Mbona mnachunguza yasiyo wahusu jamani mwisho mtataka kujua aliiwekaje hiyo mimba loool tukaushe
Mkuu van gaal sheria za ndoa na za soccer Ni tofauti kabisa
kwa hiyo wale watoto sio wa Mengi kwa mujibu wa sheria ??
Ndoa afunge mwingine kwa mapenzi yake na pesa yake....kukereketwa akereketwe mwingine...mmmmh !! We got a long way to go, long way......
Watoto ni wa mengi lakini sio halali.
Soma sheria ya ndoa ya mwaka 1971 (Law of Marriage Act,1971) ndio sheria mama kuhusu masuala yote ya ndoa na hakuna ndoa yoyote itaitwa halali kama inapingana na kifungu kilichomo kwny hii sheria ndio maana nlipotoa hicho kifungu cha 9 kinaelezea maana ya ndoa na ukiendelea kifungu cha 10 na 11 kinaelezea ni ndoa za kimila au za kimila tu ndizo zinaruhusu mtu kuoa mke mwingne na tena lazima mke mkubwa aridhie km hatoridhia na ukaendlelea kufunga tu hiyo ndoa itakua haramu pia
Watoto ni wa mengi lakini sio halali.
Kwa inavyosema sheria ya ndoa mtu akiwa bado yuko kwny ndoa halalo ya kikristo haruhusiwi kuoa mwanamke mwingne na ikitokea kaoa hiyo ndoa ya pili ni batili hata watoto walio zaliwa kwny hiyo ndoa ya pili ni batili na hawana chochote kwny urithi wa baba yao
Na kuhusu suala la nan mwny maamuzi sahihi juu ya afya hilo pia linarudi kwa mke halali wa mhusika mwenyewe
Na kuhusu suala la kumfikisha mahakamani ikiwa ataja gundua kuwa kaoa iyo pia m/ke ana haki hiyo kumshitaki ata yule muolewa kwa kuingilia agano lao na haki yao ya kindoa (consortum right) na kuwashitaki kwa ugoni
Suala si kufunga ndoa bali ni uhalali wa iyo ndoa, kwaiyo inatazamwa kisheria ni halali na km siyo nn cha kufanya kitu ambacho kinaweza ata kukta mwenyewe pia
Hiyo ndoa ni halali.
Naomba usiniulize why/maswali mengi muda wa kuanza kuargue sina.
Kwa inavyosema sheria ya ndoa mtu akiwa bado yuko kwny ndoa halalo ya kikristo haruhusiwi kuoa mwanamke mwingne na ikitokea kaoa hiyo ndoa ya pili ni batili hata watoto walio zaliwa kwny hiyo ndoa ya pili ni batili na hawana chochote kwny urithi wa baba yao
Na kuhusu suala la nan mwny maamuzi sahihi juu ya afya hilo pia linarudi kwa mke halali wa mhusika mwenyewe
Na kuhusu suala la kumfikisha mahakamani ikiwa ataja gundua kuwa kaoa iyo pia m/ke ana haki hiyo kumshitaki ata yule muolewa kwa kuingilia agano lao na haki yao ya kindoa (consortum right) na kuwashitaki kwa ugoni
mimi nashindwa kuelewa maisha binafsi ya Mengi yanamuhusu yeye mwenyewe na familia yake wakati mwingine tuweke hoja zenye faida kwa taifa.
ndiyo maana tunasema dini ni uislam,utata huo usingekuepo Mengi ana wake wawili kwa sasa,labda kama Mengi ameukana ukristo