Msaada wa kisheria kuhusu ndoa ya Mengi na K-Lynn

Msaada wa kisheria kuhusu ndoa ya Mengi na K-Lynn

Mbona mnachunguza yasiyo wahusu jamani mwisho mtataka kujua aliiwekaje hiyo mimba loool tukaushe

Mbona wewe unamind wakati yeye Dokta anapenda, we hukumuona juzi kwenye Luninga na Gazeti kama jf....keshokutwa utamuona na Laptop Luningani anacomplain..."hawa jf wameanza kunifuatafuata..........
 
Ndoa afunge mwingine kwa mapenzi yake na pesa yake....kukereketwa akereketwe mwingine...mmmmh !! We got a long way to go, long way......

Alitukanwa pengo ndugu abubakari akawa mlalamikaji dhidi ya gwajima.
 
Uhalali wa ndoa ya mengi unapunguza vipi umaskini wako?:lol:
 
Soma sheria ya ndoa ya mwaka 1971 (Law of Marriage Act,1971) ndio sheria mama kuhusu masuala yote ya ndoa na hakuna ndoa yoyote itaitwa halali kama inapingana na kifungu kilichomo kwny hii sheria ndio maana nlipotoa hicho kifungu cha 9 kinaelezea maana ya ndoa na ukiendelea kifungu cha 10 na 11 kinaelezea ni ndoa za kimila au za kimila tu ndizo zinaruhusu mtu kuoa mke mwingne na tena lazima mke mkubwa aridhie km hatoridhia na ukaendlelea kufunga tu hiyo ndoa itakua haramu pia

Naomba unieleze inapatikana wapi nina jirani anahiitaji sana sana...Dar.
 
Kwa inavyosema sheria ya ndoa mtu akiwa bado yuko kwny ndoa halalo ya kikristo haruhusiwi kuoa mwanamke mwingne na ikitokea kaoa hiyo ndoa ya pili ni batili hata watoto walio zaliwa kwny hiyo ndoa ya pili ni batili na hawana chochote kwny urithi wa baba yao
Na kuhusu suala la nan mwny maamuzi sahihi juu ya afya hilo pia linarudi kwa mke halali wa mhusika mwenyewe
Na kuhusu suala la kumfikisha mahakamani ikiwa ataja gundua kuwa kaoa iyo pia m/ke ana haki hiyo kumshitaki ata yule muolewa kwa kuingilia agano lao na haki yao ya kindoa (consortum right) na kuwashitaki kwa ugoni

Watoto, batili?
Washacome into existance hamna kitu kinaitwa void juu ya uwepo wa watoto.
 
Suala si kufunga ndoa bali ni uhalali wa iyo ndoa, kwaiyo inatazamwa kisheria ni halali na km siyo nn cha kufanya kitu ambacho kinaweza ata kukta mwenyewe pia

Hiyo ndoa ni halali.
Naomba usiniulize why/maswali mengi muda wa kuanza kuargue sina.
 
Hiyo ndoa ni halali.
Naomba usiniulize why/maswali mengi muda wa kuanza kuargue sina.

Hahahaaa Avemaria bwana?
Eti hutaki maswali.Ila ungejibu kwa hoja japo kidogo kua ni kwanini sio batili,ungetusaidia na sisi tusiojua chochote.
 
Last edited by a moderator:
Mengi wewe siyo mkristo umeasi ila kwako ni ndoa ni halali kwako. Lakini tafakari jambo hili sana kwa sababu wewe ni kioo cha watu wengi Tanzania. Yesu akurehemu kwa tukio hilo.
 
Acheni kelele nyie tafuteni pesa.Akiamua kuoa hata 100 anaoa. Na kanisani hawamtengii. Akiamua kuvuta kidoti anavuta,,au anapiga mambo anasepaa.
 
Mzee Mengi amesuuza roho yangu. Mama akifanya jambo ambalo limepindukia huna sababu ya kupiga makelele, unavuta miss mchanga mambo yanakwisha. Kwanini uitese roho yako, maisha mafupi
 
Kwa inavyosema sheria ya ndoa mtu akiwa bado yuko kwny ndoa halalo ya kikristo haruhusiwi kuoa mwanamke mwingne na ikitokea kaoa hiyo ndoa ya pili ni batili hata watoto walio zaliwa kwny hiyo ndoa ya pili ni batili na hawana chochote kwny urithi wa baba yao
Na kuhusu suala la nan mwny maamuzi sahihi juu ya afya hilo pia linarudi kwa mke halali wa mhusika mwenyewe
Na kuhusu suala la kumfikisha mahakamani ikiwa ataja gundua kuwa kaoa iyo pia m/ke ana haki hiyo kumshitaki ata yule muolewa kwa kuingilia agano lao na haki yao ya kindoa (consortum right) na kuwashitaki kwa ugoni

acha blah blah ndoa yoyote ile iwe ya kanisa, kimila, kiislam nk inaweza tenguliwa na mahakama iwapo mtakua mmekubaliana!!!
 
mimi nashindwa kuelewa maisha binafsi ya Mengi yanamuhusu yeye mwenyewe na familia yake wakati mwingine tuweke hoja zenye faida kwa taifa.

Hii ya 'maisha binafsi' ni kwa Mengi tu? Vipi maisha binafsi ya watu wengine yanayojadiliwa humu kila siku? Acheni double standards...
 
ndiyo maana tunasema dini ni uislam,utata huo usingekuepo Mengi ana wake wawili kwa sasa,labda kama Mengi ameukana ukristo

mi ni mkristo ila napenda ndoa ya mke zaidi ya mmoja inaleta na kudumisha nidhamu ya mwanamke kwa mumewe.

Alliance for Cowards and Traitors!!
 
asante kaka.kwanza mambo vp....
nadhan unaelewa kabisa kua sheria ya ndoa ya 1971 inaeleza waz kua u can not contract a mariage if there is still a subsisting mariage.kama ndoa ya mercy bdo iko hai kwa mana mahakama haijatengua ndoa hio au mecy bado mzima. bas hio ndoa ya pili ni void abinitio.yan ni batili tangia mwanzo.
tafadhali kasome case ya HYDE Vs HYDE kujua definition ya mariage.
kuhusu swal la pili.not going along ni issue nyingine but Mecy ana all rights when it comes to mengi estates kwa sababu ndio mke halali.
kuhusu swal la tatu ... YES watoto wa kylne wako subjected to inherit from the estate of their father ila kama wameshahalalishwa.
 
Back
Top Bottom