Msaada wa Kisheria kwa watuhumiwa wasio na uwezo wa Wakili binafsi?

Shida yetu watanzania tuna wataalamu unga unga, ambao badala ya kutumia taaluma yao kwa jamii wanajikita kwenye ujinga.

Article 13 ya katiba ya Tanzania inaelezea haki ya kulindwa mbele ya sheria. Na kuna sheria mahususi inayoelezea haki hizo zilipo. Sheria ya ‘Usawa mbele ya sheria 1984 Na 15 ib 6,

Mitandaoni hiyo sheria haipo lakini (kwa utaratibu wetu wa copy and paste) ukiitafuta hiyo utakuta kipengele kinachosema polisi tu hawawezi kuhoji mtuhumiwa bila ya kuwa na mwanasheria wa kumuwakilisha, kabla hata ya kuamua kumshtaki au la.

Ni jukumu la serikali kumpatia raia asie na uwezo wakili wa kumuwakilisha mara tu atakaposhikwa na polisi kama hana uwezo.

Ni hivi watanzania hasa wapinzani na wanaharakati uchwara awajaelewa hiyo katiba ya ujamaa. Badala ya kupambana kuona ufanisi wa katiba wanakuja na mambo ya kijinga.

Shida Tanzania ni weledi wa wanasheria wetu kwenye ku-challenge mambo, lakini katiba yetu sio ya mzaha kabisa ukitoa upuuzi wa madaraka ya raisi.

Mtaji wa CCM ni ujinga wetu watanzania.

Uwezi kumpeleka mtu mahakamani bila ya kuwa na muwakilishi mara baada ya kumkamata it’s against the legal principles.

But then hii ni Tanzania, tushazoea hayo mambo; wenye new ideas ni majamaa yanayojifanya wajuaji mpaka wanakera. .
 
Point Mkuu. Wapinzani design ya kina Msigwa, Sugu na Lema hutasikia wakizungumzia hayo mambo
 
Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
"You have a right for attorney, if you don't afford state will provide you one". Inatakiwa kuwa hivyo
 
Back
Top Bottom