Aliyemuuzia si yupo, mashahid wakati wa ununuzi wapo, serikali za mtaa wapoPolisi wanamzungusha inaonekana jamaa yake ana ushawishi upande huo maana walimwambia alitakiwa awe na copy ya mikataba ya mauziano ndo wampe loss report
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyemuuzia si yupo, mashahid wakati wa ununuzi wapo, serikali za mtaa wapoPolisi wanamzungusha inaonekana jamaa yake ana ushawishi upande huo maana walimwambia alitakiwa awe na copy ya mikataba ya mauziano ndo wampe loss report
Alikua na tabia ya kumwamini kwa hiyo mara nyingi tu kabla ya tukio alikua akimwomba ufunguo anampatiahuyo rafikiye aliingiaje ndani(nyumbani)kwa mdogo wako na kuiba documents za hivyo Viwanja??alivunja mlango??alitumia funguo bandia au ilikuaje??jibu kwanza hilo tujue maana kama Jinai inabidi ianzie hapo kwamba documents muuzaji alizipata vipi??
Kuna uwezekano huyo rafiki yake na yeye wanashirikiana kuwaibia wanunuzi na ww hujui..1.Viwanja vyote havina hati vina mikataba ya manunuzi ambayo ndo hiyo jamaa yake aliiba akaenda kuuzia
2.Miongoni mwa mashahidi wakati anakinunua ni mimi kwa viwanja vyote viwili na huyo jamaa yake alieviuza
3.Document zilikua na majina ya dogo ila aliuza muuzaji akisema kuwa amepewa ruhusa na mmiliki na akafake kwa kupiga simu akiwa na viongozi wa mtaa
watu wana uelewa hafifu sana juu ya sheria ya ardhi kwa maelezo ya hapo juu ni wazi kuwa huyo jamaa hana hati ni mikataba ile ya kiswahili tena inapigwa mihuri na muumbe hata serikali za kitaa hamuendiWanajamvi naombeni msaada wenu wa kisheria katika hili.Iko hivi nina mdogo wangu wa hiari(tumekutana kazini sina vinasaba nae) mnamo mwezi wa nne alisimamishwa kazi.Hivyo kutokana na majukumu ya kifamilia akaamua ajiingize kwenye biashara ya kununua mahindi na kuuza .Changamoto ikawa mtaji maana mzigo upo ila mtaji haukidhi akajaribu kuomba mikopo ikashindikana akaamua kuuza baadhi ya vitu vyake vya ndan kama tv,fridge na kiwanja kimoja(alikua na viwanja viwili).Mambo yote hayo alikua anayafanya na rafiki wa karibu sana ambapo walifanikisha kuuza vitu vya ndani kwa haraka kuliko kiwanja.Hivyo ikamlazimu dogo arudi vijijini kutafuta mahindi akampa taarifa huyo rafiki yake kuwa wasitishe zoezi la kuuza kiwanja.Wakati akiwa kijijini jamaa yake aliingia nyumbani kwa dogo akaibia document zote za viwanja akaenda akauza na hela akaenda akanunua gari ya kutembelea.Dogo akiwa kijijini aliibiwa hela tsh milioni tisa .Akaamua arudi mjini kuuza viwanja vyake aongezee mtaji maana tayari umepungua anakuta kiwanja kimoja kuna mtu anajenga kufuatilia anaambiwa kwenye uongozi wa mtaa anaambiwa viwanja vyake vimeuzwa viwili na alipigiwa simu siku vinauzwa na akatoa ruhusa(yeye dogo anadai hakupigiwa simu ).Ameenda polisi wamemuambia kama hana copy za document za ununuaji wa viwanja akubali tu maumivu wao hawana cha kumsaidia.Amejaribu kukutana na wamiliki wapya wa viwanja kwa maongezi ya usitishaji wa ujenzi lakini huyo rafiki yake anawaambia nyie endeleeni na ujenzi huyo hana documnet zozote asiwatishe. Sasa dogo amekwama asijue nini cha kufanya hivyo naomba kwa wenye ujuzi mtusaidie msaada wa kisheria hapa tunafanyaje.
Mleta mada ni tapeli!Huko kijijini hizo Mil 9 nazo ilikuwaje wakampiga...???[emoji23][emoji23]
Hakuna kitu kama hicho.1.Viwanja vyote havina hati vina mikataba ya manunuzi ambayo ndo hiyo jamaa yake aliiba akaenda kuuzia
2.Miongoni mwa mashahidi wakati anakinunua ni mimi kwa viwanja vyote viwili na huyo jamaa yake alieviuza
3.Document zilikua na majina ya dogo ila aliuza muuzaji akisema kuwa amepewa ruhusa na mmiliki na akafake kwa kupiga simu akiwa na viongozi wa mtaa
Alienda ardhi wataitwa walionunua,, wataulizwa aliyewauzia wakimleta watataka kujua aliipataje hiyo hati Sheria zipo waziPolisi wanamzungusha inaonekana jamaa yake ana ushawishi upande huo maana walimwambia alitakiwa awe na copy ya mikataba ya mauziano ndo wampe loss report
Anaweza kupata haki,utaratibu wa mauziano ulikuwa batiliWanajamvi naombeni msaada wenu wa kisheria katika hili.
Iko hivi nina mdogo wangu wa hiari (tumekutana kazini sina vinasaba nae) mnamo mwezi wa nne alisimamishwa kazi.
Hivyo kutokana na majukumu ya kifamilia akaamua ajiingize kwenye biashara ya kununua mahindi na kuuza.
Changamoto ikawa mtaji maana mzigo upo ila mtaji haukidhi akajaribu kuomba mikopo ikashindikana akaamua kuuza baadhi ya vitu vyake vya ndan kama tv, fridge na kiwanja kimoja (alikua na viwanja viwili).
Mambo yote hayo alikua anayafanya na rafiki wa karibu sana ambapo walifanikisha kuuza vitu vya ndani kwa haraka kuliko kiwanja. Hivyo ikamlazimu dogo arudi vijijini kutafuta mahindi akampa taarifa huyo rafiki yake kuwa wasitishe zoezi la kuuza kiwanja. Wakati akiwa kijijini jamaa yake aliingia nyumbani kwa dogo akaibia document zote za viwanja akaenda akauza na hela akaenda akanunua gari ya kutembelea. Dogo akiwa kijijini aliibiwa hela tsh milioni tisa
Akaamua arudi mjini kuuza viwanja vyake aongezee mtaji maana tayari umepungua anakuta kiwanja kimoja kuna mtu anajenga kufuatilia anaambiwa kwenye uongozi wa mtaa anaambiwa viwanja vyake vimeuzwa viwili na alipigiwa simu siku vinauzwa na akatoa ruhusa (yeye dogo anadai hakupigiwa simu)
Ameenda polisi wamemuambia kama hana copy za document za ununuaji wa viwanja akubali tu maumivu wao hawana cha kumsaidia.
Amejaribu kukutana na wamiliki wapya wa viwanja kwa maongezi ya usitishaji wa ujenzi lakini huyo rafiki yake anawaambia nyie endeleeni na ujenzi huyo hana documnet zozote asiwatishe. Sasa dogo amekwama asijue nini cha kufanya hivyo naomba kwa wenye ujuzi mtusaidie msaada wa kisheria hapa tunafanyaje.