Msaada wa kisheria; Ni kosa gani unaweza kufanya likapelekea ukafukuzwa nchini?

cacacuona

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
655
Reaction score
776
Leo nimeamka nawaza hii kitu sikupata jibu ..nikaona nililete kwenye jf maana watu vchwa wako humu. Swali hili: Jeni ni makosa gani unaweza kufanya mwananchi ikapelekea kufukuzwa nchini.mfano nikiwa nimefanya kosa Fulani nafukuzwa tuu nisiishi Tanzania na sifungwi.nahitaji hilo kosa ..linaweza kuwa alternative way..katibu.
 
Hakuna sheria ya hivyo kwa raia wa nchi.
 
Leo nimeamka nawaza hii kitu sikupata jibu ..nikaona nililete kwenye jf maana watu vchwa wako humu. Swali hili: Jeni ni makosa gani unaweza kufanya mwananchi ikapelekea kufukuzwa nchini.mfano nikiwa nimefanya kosa Fulani nafukuzwa tuu nisiishi Tanzania na sifungwi.nahitaji hilo kosa ..linaweza kuwa alternative way..katibu.
Ufukuzwe uende wapi kama wewe ni Mtanzania? Anayefukuzwa nchi ni yule ambaye siyo Mtanzania
 
Hakuna adhabu kwa raia halali wa Tanzania kufukuzwa ndani ya nchi yake. Na hakuna mwenye mamlaka kisheria kutoa amri hiyo. Katiba na sheria ya uhamiaji inamruhusu raia wa Tz kutoka nchini mwake kwa hiari. Lakini sheria ya Extradition inaweza kumlazimisha mtz mtuhumiwa arudishwe nchini TZ kwa lazima ili ajibu mashitaka fulani kama yapo. Hata hivyo utaratibu huo wa kumrudisha mtuhumiwa kwa lazima nchini TZ unatakiwa kufuata taratibu za kisheria zinazoratibu utekelezaji wa tendo hilo.
 
Leo nimeamka nawaza hii kitu sikupata jibu ..nikaona nililete kwenye jf maana watu vchwa wako humu. Swali hili: Jeni ni makosa gani unaweza kufanya mwananchi ikapelekea kufukuzwa nchini.mfano nikiwa nimefanya kosa Fulani nafukuzwa tuu nisiishi Tanzania na sifungwi.nahitaji hilo kosa ..linaweza kuwa alternative way..katibu.
Hakuna hiyo sheria ukifanya kosa utapelekwa mahakamani ukipatikana na hatia utahukumiwa kwa mujibu wa sheria na kupewa adhabu kulingana na uzito wa kosa lako inaweza kuwa kulipa faini, kifungo au hata hukumu ya kifo. Huwezi kufukuzwa nchini mwako labda uwe sio raia.
 
Fanya uchochezi utafukuzwa nchini kupitia kwenye viroba.
 
Leo nimeamka nawaza hii kitu sikupata jibu ..nikaona nililete kwenye jf maana watu vchwa wako humu. Swali hili: Jeni ni makosa gani unaweza kufanya mwananchi ikapelekea kufukuzwa nchini.mfano nikiwa nimefanya kosa Fulani nafukuzwa tuu nisiishi Tanzania na sifungwi.nahitaji hilo kosa ..linaweza kuwa alternative way..katibu.
Hakuna sheria nchini kwetu inayomfumkuza raia nchini kwake.
 
Kama ww ni raia wa kweli wa nchi hii hakuna sheria wala kosa lolote linaloweza kukufukuza hapa nchini. Hiyo ni haki ya lazima ambapo hakuna mamlaka yoyote inayoweza kuiondoa kwa namna yoyote ile.
 
Leo nimeamka nawaza hii kitu sikupata jibu ..nikaona nililete kwenye jf maana watu vchwa wako humu. Swali hili: Jeni ni makosa gani unaweza kufanya mwananchi ikapelekea kufukuzwa nchini.mfano nikiwa nimefanya kosa Fulani nafukuzwa tuu nisiishi Tanzania na sifungwi.nahitaji hilo kosa ..linaweza kuwa alternative way..katibu.
Ukifukuzwa utaenda wapi??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa kuchoka huku, dahh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanataka kujua shortcut ya kutoka bongo... Haipo Mzee!!.

Tutabanana hapa hapa uende wapi, unataka kumuachia nani vyuma hivi? Tusaidiane wote tu kuweka grisi na mafuta ya breki vilegee hamna namna.
 
Leo nimeamka nawaza hii kitu sikupata jibu ..nikaona nililete kwenye jf maana watu vchwa wako humu. Swali hili: Jeni ni makosa gani unaweza kufanya mwananchi ikapelekea kufukuzwa nchini.mfano nikiwa nimefanya kosa Fulani nafukuzwa tuu nisiishi Tanzania na sifungwi.nahitaji hilo kosa ..linaweza kuwa alternative way..katibu.

Tafuta bwana wa nje akuoe, say Italy ambapo unaruhusiwa kuolewa, ukane uraia wa tz, halafu uje ufanye nae hapa nchini utume clips
 
Back
Top Bottom