Msaada wa kisheria: Nilimpa mimba mke wa mtu, mtoto amefanana sana na mimi, nitampataje?

Achukue mtoto kwa mke wa mtu akifikisha miaka 15?are u serious?nasema hivi kama anataka mtoto wake mama mtoto amueleze mumewe mtoto sio wake sasa hivi aachwe afu waamue watakachofanya>
 
WEWE MKEO NAYE ATAWEKWA MIMBA. YANI ULISHAGUNDUA NI MKE WA MTU LAKIN BDO UKAPGA MECH NYINGNE, KANA KWAMBA HAITOSH UKAMWAGIA MANII YAKO NDAN KAMA UNAFANYA NA MKEO

MALIPO NI DUNIAN, MBINGUNI HTIMISHO.
 
Huwa tunaambiwa wanaoolewa ni wale wenye tabia nzuri alafu wasio olewa ni wale ambao hawafai kwene jamii majina yote mabaya wanaitwa. Sasa kama wanaoolewa ni kweli ndo wanafaa, wanajiheshimu haya mambo huwa yanatoka wapi?
Ingekuwa hivyo mbona ndoa zingekuwa paradiso ndogo. Upuuzi tu ambao ukiamua ukuingie na kutawala hisia zako umeumia.
 
Mcheki mtendaji wako wa kata/mtaa anaweza kukupa barua ya kukutambulisha kwa huyo jamaa mwenye mke!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umetisha mkuu
 
Duh! Brother kwenye sheria kitanda hakizai halamu, pia hapo utasababisha ukamatwe ugoni maana hiyo nayo ni sababu mojawapo, kwahiyo jamaa huyo mtoto ni mali yake halali
 
Kuna watu mna roho ngumu mpaka shetani anawagopa yaani uzae na mke wa mtu na bado unataka ukadai mtoto are you serious....
 
Kwa nini usijaribu kuongea na huyo mumewe ili wakupangie kiasi cha pesa za matunzo ya mtoto kila mwezi?
 
Reactions: SMU
Kwa nini usijaribu kuongea na huyo mumewe ili wakupangie kiasi cha pesa za matunzo ya mtoto kila mwezi?
Muulize kwanza kama kajiandaa kutolewa "marinda".....otherwise asithubutu. Keshapoteza hapo.......aombe tu huyo mwanaume awe na maisha mafupi.
 
Hata mm hili nimeshawahi kukutana nalo...lakin hakuna namna...mwaje tu mwanao alelewe na babaake mwenza
 
THE LAW OF THE CHILD ACT, 2009
Cap.300(6)(1) "A child shall have a right to name, nationality and to know his biological parents and extended family.
Cap.300(6)(2) "A person shall not deprive a child of the right to a name, nationality and to know his biological parents and members of the extended family subject to the provisions of any other written laws.

Kwa sheria hizo na zingine mtoto wako unaweza kumchukua, lakini kumbuka na hiyo ndoa ya watu utaivunja. Lakini pia unaweza kuhatarisha usalama wako na huyo mama na pia unaweza kudaiwa fidia kwa kumwingilia mke wa mtu. Sasa uwe tayari kwa fidia na kumchukua na mama yake na mtoto. Otherwise, vumilia tu mtoto alelewe na mume mwenza, akue then akimbie mwenyewe kuja kwako kwa hiari yake.

Hilo tatizo mimi limewahi kunikuta lakini siyo katika mazingira kama yako. wangu alikuwa mchumba wangu, akaingilia jamaa mwingine mwenye nguvu zake kwa wakati huo. Binti akashawishiwa na ndugu na huyo jamaa wapambe wake kwamba aachane ni mimi kwa kuwa sina kitu (hohe hahe). basi akaenda kuolewa akiwa na mtoto wangu tumboni. Mtoto amezaliwa copy right. Niliwaachia wanilele maana walifunga ndoa ya kanisani kabisa ya Kikatoliki. Mtoto yupo form two sasa, nawasiliana naye na namtumia matumizi ya shule na sikukuu hii alitakiwa kuja kwangu. anajua ndugu zake wa damu kwa upande wangu, ananinjua na wazazi wake na ndugu wananua hilo. Hili halikuleta shida kwa sababu anajua alikuwa mchumba wa mtu yeye kaamua kubeba na mimba yake.
 
Huoni kwamba utaivunja ndoa ya huyo mwanamke? Uangalie na upande wa pili pia.
Uyo mwanamke alishaivunja hiyo ndoa yake tayari kwa kufanya ujinga huo wa kuchepuka na hadi kuzaa
 
Huwa tunaambiwa wanaoolewa ni wale wenye tabia nzuri alafu wasio olewa ni wale ambao hawafai kwene jamii majina yote mabaya wanaitwa. Sasa kama wanaoolewa ni kweli ndo wanafaa, wanajiheshimu haya mambo huwa yanatoka wapi?
Akina nani wanasema hivyo?
 
Mkuu huyo mume wa mzinzi mwenzio akikuchinja, hakika atastahili msamaha.
 
Hivi hii michezo na wake za watu huwa hamuogopi?wewe unataka k!f!ro tu huna maana kabisa
 
Nikilipa fidia ntampata mwanangu?
Jiweke kwenye nafasi ya huyo mume wa huyo dada. Mke wako akipata mimba nje ya ndoa utamchukuliaje? Utamsamehe na kuendelea nae au utamuacha.
Acha kuzidi kuharibu ndoa ya watu maana umeshaitia doa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…