mob
JF-Expert Member
- Dec 4, 2009
- 2,262
- 1,356
Aisee mbona kitu rahisi sana unaenda mfuata unamwambia aisee mbona ataelewwa tu mkuu.Kuna cku nimekaa na jamaa yangu tunapiga story mzee mmoja kaja kasema wewe mtoto wa fulani akimwambia best yangu hakutaja jina la baba yake wa sasa ila akataja lingine jamaa hakuelewa ila as times goes jamaa amekuja gundua yupi ni baba yake.Haya mambo yako sana moshi ndo maana wazee huwa wanakukataza kuoa au kuolewa na mtu fulani kumbe wao wanayajua tokea mwanzo.