Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

Partnership kam mmoja ndiyo anafanya kazi huwa inasumbua sana. Imenitokea, mtu anaona kama wewe unafaidi sana. Lakini kumbe hata kujilipa unajilipa kidogo ili mambo yaende. Mbaya zaidi wewe ulieanzisha, unakuwa na uchungu na kitu chako lakini mwingine anakuwa kam sehemu ya kuongelea tu.
 
Tatizo lako unaleta mapenzi na kazi. wewe sema business yangu ipo hivi nahitaji mtu wa kununua shares kadhaa au ku inject mtaji amount kadhaa atabenefiti kwa namna hii na hii, akupe hela asign

sasa nashangaa ww ndo unaambiwa usign kwani unamuomba msaada?
BTw kwann unabembelezana na huyo jamaa. Kama mnafanya bishara fanyeni na kama mnavuana chupi vuaneni.

You either choose one. ikikaa kizembe hata icho kidogo utapoteza.
 

Huyu ndio msema kweli kabisa mm ni mwanaume najua tena najua.Ni mbinu moja kubwa mno!! Kiongozi uko sahihi
 
Thing is hataki tutafute lawyer, he wants to do everything himself mimi ni sign tu... does it makes sense?
Kimbia wala usigeuke nyuma.
Kama ulianza mwenyew ukafika hapo ulipo hata huko unapotamani kufika utafika tu.
Biashara bwana ina changamoto hasa mkiwa mnamiliki watu wawili hata kama wewe ndio unaendesha kila kitu.
Why hataki kufuata sheria
It doesn't make sense
 

nimejaribu kuongea nae ndo kanijibu hivyo. Kuna usalama kweli hapa.
 

Attachments

  • 12EE4637-3D79-4E01-A1B6-8EC920F43648.jpeg
    260.5 KB · Views: 10
  • 71FF2C3D-82C1-4500-B367-EEB14C39395F.jpeg
    232.9 KB · Views: 10
  • 0EEA40F4-BFC3-405D-AFBB-669C973F835D.jpeg
    240.5 KB · Views: 10
Terms of partnership are very clear since day 1 on commencement of Business there is no room for you to run contrary to the agreement
 
Terms of partnership are very clear since day 1 on commencement of Business there is no room for you to run contrary to the agreement
"On commencement of business " yani tukianza biashara I can't back out sio?
 
That's why we have lawyers na accountants / financial advisers.
Acha ubahili huwezi ishi salama businesswise bila hao !

Yaani hata hamjui operational costs ??
Karudi kukulalia hugo..
 
Trust me, sasahv umeandika unacheka ila baada ya mwaka au chini ya hapo utalia. Nakushauri rudisha hiyo pesa kabla haujaingia matatizoni. Bora ukope iwapo unapungukiwa na sio kufanya kazi na huyo mtu.
 
nimejaribu kuongea nae ndo kanijibu hivyo. Kuna usalama kweli hapa.
Hii inaitwa pika bomu. Kwamaelezo haya naona wewe ndio unalazimisha patnership yenu. Kifupi jamaa keshajua wewe ni dhaifu kiasi gani kwake hivyo anatumia kukutisha na wewe umetishika. Nakwambia utakuwa mtumwa wa hiyo biashara hadi ushangae.
 
Kuliko kuchukua pesa yake kwanini usitafute mkopo hata Bank maana kwa inavoonekana jamaa ni janja janja

pilinunaweza chukua profit unayopata ukainject kwenye biashara yako kukuza mtaji

tamaa ya kuruka ndani ya muda mfupi unaweza jikuta unapoteza biashara yote kama ulivosema jamaa anakwepa kutumia mwanasheria anataka adraft yeye mkataba inaonekana kuna kitu anaficha

kuwa makini Dada usije anza upya biashara ni ngumu sana
 
Thing is hataki tutafute lawyer, he wants to do everything himself mimi ni sign tu... does it makes sense?
What?! Mbona kama anataka kuwa in control mapema sana?! Hiki ndicho nakiona if you're not careful. Baada ya muda ataanza kuwa na sauti zaidi. Atafanya janja janja hadi mnarudisha mahusiano (don't tell me : there's no way kwa sababu mkianza biz pamoja mtakuwa karibu zaidi). Mkisharudisha uhusiano, na nyie watu mlivyo dhaifu kwa ma-boyfriend wenu, taratibu utaanza tena kuwa controlled emotionally!!

Ngoja kwanza, nisijifanye nawajua wakati siwajui. Hebu rejea siku za mahusiano yenu! Alikuwa ni mtu wa aina gani?! Je, ni mtu ambae alikuwa na tabia ya kutaka kuwa in control of everything kuhusiana na maisha yenu au alikuwa ni mtu aliyekuwa tayari wakati wowote for discussion na kuthamini mawazo yako?

Kumbuka kwamba, kwenye ulimwengu wa biashara idea ndo kila kitu. Ingawaje ni kweli unahitaji mtaji lakini ni yeye ndie anakuhitaji zaidi kuliko anavyomhitaji. Ukikubali hilo la juu, hata kama litakuwa in a win-win situation bado hilo litakuondolea kitu muhimu sana kwako: kuwa in control, na taratibu utaanza kutawaliwa na emotion ambayo kwa kawaida linapokuja suala la mapenzi, emotion huchukua nafasi ya akili kwenye maamuzi!!
 
Mm ni mpambanaji kama ww. Huyo jamaa kwa jicho la kuangalia maili 100 mbele na kuchungulia gizani hafai kua partner kwenye biashara. Kwa sababu mpaka hapo inaonekana ww ndo ulimuacha kwenye mapenzi. So kajidogoisha akiwa amekuja kishriki biashara lkn lengo lake ni kukuangamiza. Na ukimruhusu tegemea yafuatayo.

1. Kuandaa mkataba wenye lugha ngumu na mambo yaliyojificha. Unatakiwa utumie mwanasheria nguli tena zaidi ya mmoja kuchunguza lugha za mkataba husika.
2. Anataka ajue weakness yako ili a-take advantage na kuimiliki biashara.
3. Kuiangusha biashara yako kwa kuzusha mambo mengine kama vyesi, uchawi na uganga.

4. Kurudi ili mrudiane hatimae aimiliki biashara yeye kama yeye.

Muda ni hakimu mzuri. (Wanawake mkishauriwa mnasemaga mnaonewa wivu....yakiwakuta mnarudi kwa kuweka mikono nyuma mkiomba ushauri)
 
Thing is hataki tutafute lawyer, he wants to do everything himself mimi ni sign tu... does it makes sense?
Qmnina. Ww dada hunijui sikujui. Ila sote ni ndugu. Achana na huyo jamaa. Ana roho mbaya na kajiandaa kukufanyia mabaya zaidi na kuyaangamiza maisha yako. Hii comment yako nilkua sijaiona ila nilisema hapo juu. Huyo mtu ulimuacha ww. Ukimpa nafasi utajuta. Nasema utajuta na biashra itakua yake.

Mblock kila sehemu. Ukishamaliza nenda bank yyte uonane na loan oficcer ukachukue mkopo uendeshe biashara zako. Alafu inaonekana anakuona ww kama hujaendna shule au elimu yako ni ndogo kung'amua mambo.
 
Very unfortunate umeshaipokea hiyo hela.

Huyo jamaa anataka kurudi kwa ajili ya issue za mapenzi, na amejua udhaifu wako ulipo.

Pamoja na ushauri wote uliopewa, binafsi ningekushauri usifanye partnership na mtu ambaye ulishapita naye au unapita naye (labda kama ni mume).

Otherwise, vitu vingine viende kama wadau walivyoshauri.
 
Mkuu umemaliza kila kitu.

Huyu mdogo wangu atapoteza hii game for sure. Mimi kabla sijampa ushauri nataka nimuulize.

Tuttyfruity do you have feelings (no matter how small they are) for the the guy??
 
Dah sasa kumbe hela ulishapokea...na pia unataka familia naye. Hapo patamu.
 
nimejaribu kuongea nae ndo kanijibu hivyo. Kuna usalama kweli hapa.
My friend hapa hapana usalama.

See?? You guys mnachat mpaka saa tano na nusu usiku kuzungumza biashara???? If I were to get you as my chick or Gf then i would surely use one of your weaknesses to get to you.

You need the money and from the chat it is clearly seems like you are done,lady!

Anyway nijibu kwanza, do you have feelings for the guy??? If yes ushauri utakuwa tofauti na if no ushauri pia utakuwa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…