Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

Nina dada angu mmoja ivi hata apigweje au anyanyaswe vip na jamaa ake mkimshauri kuondoka anaenda kumwambia jamaa na wanaanza kuwateta. Jamaa linaanza kujitapa na kutuma vijembe.
🀣🀣🀣🀣 Dah poleni. Ila acheni jamani migegedo inawachanganya hawa dada zetu mpaka basi
 
Thing is hataki tutafute lawyer, he wants to do everything himself mimi ni sign tu... does it makes sense?
Hapa uwe makini zaid nakumbuka kuna stori alilete mdada kule twitter alivyopigwa mil 10 na best yake licha ya kuwa na makubaliano na mwanasheria.Kumbe best alisainisha kijanja janja tu.
So kama ni kuingia hiyo partnership tafuta mda pia na wewe uonane na mwanasheria mwingine akueleweshe a-z.
Otherwise nachoona your ex is into something else.
Linda biashara yako kwa jasho na damu kwa sababu ukisha damage hiyo business it will not be easy to be back at the point upo kwa sasa.
Merry Christmass!
 

My advice to you na uta kuja kunishukuru Baadae, Achana na partnership, nenda na speed yako ya ukuwaji was biashara yako; Labda kama mngekuwa mnaanza from β€œ0”

Kwa sasa una wateja na kila kitu? Then we endelea tu hivyo hivyo!

Shida ya partnership:

  • Nani ni final decision maker, mtu akishaweka hela zake atakusumbua kwa kila kitu.
  • Trust - this is another problem, who run the business, Je atakuamini kwa kila kitu?
Au atakuja kukuletea stress!

Tamaa ya kukua haraka imeua biashara nyingi Sana, nenda na speed yako kwa wateja unaowamudu, Acha na partnership!
 
Amueni kufanya moja, either kazi ama mapenzi, never mix things! Huyo Jamaa yako hataki mambo ya kisheria yatambana maana yeye anataka muendeshe biashara kimapenzi, na hapo ndio kategesha mtego wake wa kuja kukubamiza muda wowote usipoendana na mitazamo yake!


Yani huyo bwana mshenzi kweli[emoji2], anakutumia kumuingizia pesa at the same time anakupiga free mbu.pu[emoji16]


Ninachoweza kukushauri, ridhika na mtaji mdogo ulionao, ukuze taratibu! Huyo bwana anakutumia kwa faida yake
 
Hii issue yako ukiipeleka kwenye mkataba hakikisha terms za kwenye huo mkataba zinakuacha salama, mambo yote uliyoshauriwa huko mwanzo kama kugawana faida na hasara, yawepo, na huyo jamaa aone terms zako akikubali asaini, akigoma aache uendelee kupambana kivyako.

Muhimu ukumbuke kuna kitu amekiona hapo kwenye biashara yako ndio maana amevutika nayo, sasa ahakikishe akija anafuata masharti yako, sio yeye aje na masharti yake.
 
This is another problem, sijui natakiwa nijilipe kiasi gani.... au nipe % unayoona inafaa mimi kujilipa.
Wewe ndiye mwenye biashara... Unajua potential yake...

Sasa igawe biashara yake katika makundi mawili... Biashara ni ipi na Tuttyfruity ni yupi... Na waendesha biashara ni akina nani.

What a business is worthy sio kiasi tu ulcha Merchandise ulichonacho.. kuna network uliyotengeneza na rate ya ukuaji wake.. unaongeza subscribers wangapi kila siku nkk.

Mtu anayeoperate anafanya majukumu gani, kwa muda gani.. kama Unafanya kazi 8, kama Mfanyakazi na Msimamizi (Administrator wa venture)... lazima ujilipe kama Admin na Ujiwezeshe kama mfanyakazi. Na usisahau extra time.

Kisha makubaliano ya returns nashauri awekeze fedha yake umpe 25% ya Faida (ROI) hiyo ni kubwa kuliko atakayepata kwingine kokote.. for simply putting money in a business.

U have to be strong.. Wajasiriamali wengi wanauza biashara kizembe sana.. na this is one of them.."Kuogopa au kuwa na Aibu" Ningekuwa mimi na mikataba Hii ningeoffer 15pc hataki akawekwa fixed account aone..

Usisahau na clause ya kujiondoa yeye.. lazima akupe 12months notice na malipo ya fedha yake yanaweza kuwa kwa awamu ndani ya mwaka moja.. that way you don't hurt your business.
 
Mpaka sasa yeye ndo ana sauti zaidi. Whatever I tell him hataki he has got his own plan.
He was controlling and manipulative ndo maana tuliachana actually nilimuacha.!

you are right, idea ndo kila kitu. Imagine umeenda kuishi nchi ambayo hakuna viazi mbatata, kila anaehitaji viazi mbatata lazma afanye importation mwenyewe au mtu atakaeamua kuleta viazi mbatata ndani ya nchi hiyo anauza at a ridiculously high price. Okay wewe ukaona hilo mbona dogo. Ukaanza ku import wewe mwenyewe then ukawa unauza at a resonable price hadi wateja wakipiga mahesabu ya transport na other charges anaona ni bora anunue tu kwako. Since you've been doing it for over a year So una advantage kubwa 1. Umetengeza customer base teyar 2. Little or no competition ( wanaouza viazi ni wachache na hao wachache wanauza bei ya juu zaidi yako so all customers come to you.).

Jamaa anajua its a good business, ina returns kubwa. Lakini yeye kama yeye hawezi kuifanya bila mimi because 1. Haijui hii biashara how it's done, where I get the goods. 2. Hana access ya customers at all. Hata alete viazi yeye hatojua kwa kuwatoa hao watu. Hizo ndo sababu ananihitaji mimi. Lakini ameona 1. Nna udhaifu kwake he's trying to control me na anavyosema we'll see when you comes or we'll talk when you come hapo hamna cha kuongea he knows he can easily manupulate me akiwa karibu na mimi.
 
He's smarter than that. Hawezi kukubali kunikopesha.
 
πŸ™‚ so loveish πŸ˜€
He is Evil πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…