Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

Hii inaitwa pika bomu. Kwamaelezo haya naona wewe ndio unalazimisha patnership yenu. Kifupi jamaa keshajua wewe ni dhaifu kiasi gani kwake hivyo anatumia kukutisha na wewe umetishika. Nakwambia utakuwa mtumwa wa hiyo biashara hadi ushangae.









i have read what all of you have written and what you are suggesting and I agree with all of you. Truth is huyu jamaa hataki hizo mambo zote mlizonitajia cause in the long run he knows he won't get what he wants. He wants to invest kama ameweka pesa kwenye fixed account izae tu bila kuifanyia kazi au hasara.,Yeye anachotaka ni anipe hela hiyo pesa iwe inazaa 50% kila mwezi na hiyo 50% kasema hatoigusa iendelee ku accumulate. Kwa mahesabu hayo since mimi faida yangu sitoiacha humo I'll be using it so in the long run huyu mtu atakua na pesa nyingi in the business than me eventually biashara itakua yake na si yangu tena.
 
Nahisi hujampata vizuri mtoa mada, ye kasema inaendelea vizuri ila anashindwa kumeet demand za customers kutokana na limited funds, ndo maana ameamua kuingia partineship ili aweze kukuza mtaji na kumeet demand za soko. Inavoonekana kabla ya partineship supply ilikuwa less than demands. I hope you have catch my point.
 
Huyo gani kuwekeza... He is a [emoji1655]..stay away..

Anatumia fedha na avenue zote za kuku-manipulate akutumie...

Muwekezaji mnapaswa kuwa na uhusiano unaobeba risk sawa.. otherwise huo unakuwa mkopo..

Mkopo huo wa kutaka Malipo ya nusu ya mapato ghafi ...au hata nusu ya faida haupo.. kama lengo lako ni kujenga Biashara yako.

Remember, you are not an option in this ... He is the option.. his money is not the only money can make you grow.. any money can grow your business.. choose wisely.

Jamaa yako ni shark na anajua Anajikweza.. Ishinde Nafsi Mama.
 
Akikubali kutoa 40/50 atajiumiza sana.
Na biashara itamfia.. maana utakuta kwenye hiyo mikataba anayotaka. Kuingia kuna condition ngumu kiasi kwamba yeye ndio atajikuta na wanasheria anataka kujiondoa kwenye mkataba na kukimbia her own idea and business..

Lazima apate mwanasheria na asikate mkataba.. aupokee aureview alete her Amendments huyo Muwekezaji akikataa basi.. sio riziki
 
Do you still need advice???
 
Ww unaona kuna ulazima sana wa kuongeza mwekezaji ili hali biashara inaenda vyema?
Ni bora ukakope kubusti mtaji coz tayari unaijua vyema biashara yako.
 
Yeye ndio anatakiwa kuandaa agreement,the business idea na bussiness yenyewe ni yake!Kwa nini yeye asainishwe?
 
Kama anauhitaji sana wa hiyo pesa ampe 50% kwa condition ya kua once his initial investment ikiwa realised adrop share zake to between 20%-30%. Ili asiwe na manung'uniko milele. Similarly akitaka kutoa his initial investment ina depreciate kwa 20%-30%. Biashara ni makubaliano ati
 
Remember, you are not an option in this ... He is the option.. his money is not the only money can make you grow.. any money can grow your business.. choose wisely.

Jamaa yako ni shark na anajua Anajikweza.. Ishinde Nafsi Mama.
Yes! Thank you.
 
Una advice nzuri sana mkuu,but huyu unayemuadvice anakusikia?Labda anakusikiliza mwambie atafute mtu mwingine ambaye hana na hakuwa na mahusiano naye tangu zamani ainject hiyo pesa waingie ubia ambao unatija kwake,maana naona jamaa anataka kuwekeza kama wale wanaokopesha kwa riba.Mwambie anipe condition za hii biashara aje pm tuwe patners kwa fairnesss kabisa.kama hataki mwambie KUSIKIA KWA KENGE...........
 
I remember I watched a movie about the guy who started Macdonalds and the way he eventually lost it to Investors.

25% ROI ni nzuri . Thing is I knew nothing about partnership n business laws. I was thinking I need money to grow my business but sikufikiria upande wa pili. Ahsanteni kwa kunifungua macho
 

Kama ingekuwa business ni rahisi hivyo, a lot of us would be rich.

Kwamba uweke hela kiasi kwenye business halafu iwe inarudi tu, huo siyo upatu.

Thanks to God, watu kibao wametoa constructive ideas, ukizisoma vizuri utaelewa nini cha kufanya.
 

If I were you, I would have returned his money and try to find another way of financing my business.

One advise: it is better to grow at a slow pace, because it gives you all the know how of that business. Getting into loans and poor financing at early stages gives you an exponential growth yes, but keeps you at the risk of going south in no time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…